Wanawake watawala Dunia soon

Acha woga wanaume watabak kuwa wakuu tuu
Emb chukua idad ya mataifa yanayoongozwa na wanawake vs yanayoongozwa na wanaume
Unajipa moyo,soma andiko langu nimesema soon .Bakini mkisema vichwa vichwa mwisho mtakuwa mikia
 
Ila asemacho kweli.. leo inafikia hatua wanaume wengi wanapendwa kulelewa! Mwanaume mzima unategemea mama ndo afanye kazi alee watoto kweli tujiangalie sana
 
Wanaume wamesahau majukumu yao, leo hii ukiamka alfajiri waliowengi ni akina mama wanakimbilia masokon kutafta rizki,ilhali mwanaume ameachwa ndani kalala, Sasa je km mwanaume ameshindwa kuihudumia familia ataweza huko nje? Wamebaki kusema wao ni vichwa vya nyumba wakati ki uhalisia familia nyingi zinaongozwa na wanawake.

Endeleeni kulala hvyo hvyo, mdogo mdogo mnapigwa bao.
 
Nashukuru sina group la hvyo wala picha za hvyo hvyo, sema kwenye mpira hapo daahhh
 
Mchunguze isije ikawa anatumia pombe kali kama za Rombo.
Wanaume nafasi yetu iko pale pale
na itaendelea kudumu hakuna mbadala wake.
Wapo wachache wasiojua nafasi na majukumu yao ndio hasa mnawazidi akili na ujanja, na hata walikuwepo tangu zamani kwani twamsoma Baraka alikataa kwenda vitani bila Debora.
Kwangu mimi najitambua sio tu kwa kukoroma bali kwa kutekeleza wajibu wangu na hili nimejiridhisha kwani naona kila kukicha nina ushawishi kila kukicha na situmii nguvu wananikubali wenyewe kuwa ninafaa kuendelea kuaminiwa nao...
 
Ni wachache mnajitambua aisee ,wee angalia huku MMU jinsi wanaume wanalialia na wake zao.Ndio utakavyojua wanaume wamekwisha
 
Ni wachache mnajitambua aisee ,wee angalia huku MMU jinsi wanaume wanalialia na wake zao.Ndio utakavyojua wanaume wamekwisha
Sio kweli wapo wachache wasio jitambua, na mara nyingi waliaji na waomba ushauri(wanaume wa kichina) wengi ni vivulana au wasiojitambua kwan mambo ya ndani kati ya mke/me hayatakiwi kuvuka mlango wa chumbani. Mwanaume wa kweli hufa kiume na mke mwenye akili hujua namna ya ku handle mme wake.
 
Mmmmmh!!!
 
Duuuh ..very sad, mke aniache ndani afya na nguvu ni nanazo!!!
Haikubaliki kabsaaa
 

Mwanaume hasifiwi kula wewe waache tu huko tunapokwenda itafikia watu wanakula k******** za wake zao maana mwanaume mzima unamwambia mkeo mke wangu fanya mpango leo sina kitu,unategemea afanye mpango gani kama mtu mzima hutasaidiwa na wajanja. Mwanaume anasifiwa kufanya kazi
 
yule raisi wa Brazili nahsi ni rosefu kama sijakosea ni mwanamke watu wanamuandama aachie ngazi kwa baadhi ya makosa but wengi wao hawamtaki sababu ni different gender

kuna msemo unasema hivii[emoji116] [emoji116]
 
Huwa naichukia sana hii tabia ya wanawake kuomba haki sawa

Nasisitiza hakuna haki sawa kati ya MWANAUME na mwanamke
 
Huwa naichukia sana hii tabia ya wanawake kuomba haki sawa

Nasisitiza hakuna haki sawa kati ya MWANAUME na mwanamke
Siku Mwanamke atakapoweza kukojoa akiwa amesimama na mkojo uruke mita moja au zaidi mbele ndipo nitakapojua kuna haki sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…