Wanawake watawala Dunia soon

Wanahitaji kuzungumza na mic huko ndio kwenye akili zetu. Bill Clinton mic yako bado inafanya kazi??[emoji15]
 
Hawataki kula kwa jasho kama walivyoambiwa
Umeona heee na busy kuwarudisha wanawake nyuma.Utakuta kila wakati wakimwona mwanamke anakata mbuga wanamtafutia sababu.Kuna mtu amesema Putin atatawala dunia kirahisi zubutu[emoji91] aone moto wa wamama.
 
Baada ya utawala wa muda mrefu wa wanaume wakaja kina kameruni sasa itakuwa zamu ya kina mama.
 
Kama siyo kupoozwa wawe na amani moyoni basi wamewekwa kimkakati,siyo kuwadharau ila kamwe kidume atabaki kua kidume mpaka dunia itakapobomoka
 
Na Tanzania ilikuwa chupchup migiro abebe.MUngu akamchagua Magu.
Lakini tukitawaliwa na mwanamke itakuwa maisha safi .kwani mara utasikia Leo taifa Fulani limenuniwa,kesho nchi moja imeenda kuisuta nyengine,mara kesho kutwa utasikia raisi ametuma watu wakasikilize umbea nchi nyengine na kupiga soga huko.mara oo Leo rais yupo nyumbani kaenda kunyonyesha ahahha.sory jamani ni utani ty
 
sawasawa
 
baada ya hapo hawatakuja kutawala tena. Watu wanapenda kujaribu vitu ila baada ya madhara ndipo hujifunza. Acha wapewe nafasi kwa majaribio ili wanaune tujifunze.
 
Unauliza nafasi ya wanaume?
Mmeo huwa ana nafasi gani kwako?
 
Kama siyo kupoozwa wawe na amani moyoni basi wamewekwa kimkakati,siyo kuwadharau ila kamwe kidume atabaki kua kidume mpaka dunia itakapobomoka
Shida vidume wameanza kuwa hopeless na jinsi walivyo wachache kama sensa zinavyosema soon wanaume wata adimika kidhungu wanasema rare species
 
Shida vidume wameanza kuwa hopeless na jinsi walivyo wachache kama sensa zinavyosema soon wanaume wata adimika kidhungu wanasema rare species
Haitakaa ikatokea.MUNGU hakukosea kutuumba,MWANAUME ni nguvu.bila vidume pilika zote za maisha duniani zitastop
 
Achana na hao bibi vizee. Alikuwepo Cleopatra mwenyewe na hakukuwa na lolote.
 
Unauliza nafasi ya wanaume?
Mmeo huwa ana nafasi gani kwako?
Haa swali zuri,mwanzoni alikuwa kichwa sasa siku zinavyokwenda naanza kuona nakuwa smart zaidi yake.Hata kuniamini na kiniachia majukimu mengine amekuwa muwazi na kuniamini kuwa naweza.Naishia hapo tu.Ila anitishi tena.Lakini nahisi amenipa nguvu sana na kuni support.
 
Acha tuje kwa kasi tu... Mana wanaume wamelala

Vitu vngine haviitaji akiri nyingi
Uchaguz wa USA ni game; rais huwa amejulikana mapeeema!
Alitakiwa mweus akapta Ob, then anatakiwa mwanamama, na atapita
Baaadae atapita saa mbovu mmoja hivi ashindane na shoga lililobobea ila lenye akiri nyiiiiiingi! Litachaguliwa

Subilini mtaona
 
Haitakaa ikatokea.MUNGU hakukosea kutuumba,MWANAUME ni nguvu.bila vidume pilika zote za maisha duniani zitastop
Unajipa moyo tu!msipo chukua hatua na kusimamia nafasi zenu mtabaki mnajipiga vifua "sisi vidume"
 
Unajipa moyo tu!msipo chukua hatua na kusimamia nafasi zenu mtabaki mnajipiga vifua "sisi vidume"
Usione wachache wenye udhaifu au wenye upole toka wameumbwa ukapotoka na kumdharau MWANAUME
 
Achana na hao bibi vizee. Alikuwepo Cleopatra mwenyewe na hakukuwa na lolote.
Ila ameacha historia duniani,check Delila,Ester na wengine hawakuandikwa kwa sababu wanaume waliwaficha ndani makusudi.Sasa mtakoma lazima tutawale dunia,no vita,no nyumba ndogo haaaaa sipati picha
 
Acha woga wanaume watabak kuwa wakuu tuu
Emb chukua idad ya mataifa yanayoongozwa na wanawake vs yanayoongozwa na wanaume
 
Ila ameacha historia duniani,check Delila,Ester na wengine hawakuandikwa kwa sababu wanaume waliwaficha ndani makusudi.Sasa mtakoma lazima tutawale dunia,no vita,no nyumba ndogo haaaaa sipati picha
Hahahaaa!! Haya bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…