Wanawake Watatu!!!!!!!

Wanawake Watatu!!!!!!!

Mounirah

Member
Joined
May 26, 2011
Posts
12
Reaction score
1
Kiulikuwa na wanawake 3 ambao walinunua ice creame {Ballcone} wa kwanza alikuwa anainyonya, wa pili alikuwa anailamba, na wa tatu alikuwa anaimung'unya! Swali, Je! utamjuaje kati ya hawa alieolewa?
 
Aliyeizoea bila shaka alikuwa haitaji tena kuinyonya wala kuilamba kwa sababu ameshafanya yote hayo hapo awali.Hivyo basi yule aliyekuwa anaimung'unya ndiye aliyeolewa kwani anajitahidi kuona kama itaisha kwa kuimungunya.
 
Kiulikuwa na wanawake 3 ambao walinunua ice creame {Ballcone} wa kwanza alikuwa anainyonya, wa pili alikuwa anailamba, na wa tatu alikuwa anaimung'unya! Swali, Je! utamjuaje kati ya hawa alieolewa?

Shule za kata nazo zimefungwa eeeh?Ungejitambusha basi....
 
kwa kweli hii haifai humu kwenye jf, mada za shule za kata zipelekwe "kitabuuso" (facebook)
 
Make it vice versa wanaume 3 wanafanya hivyohivyo nani atakuwa ameoa?
 
Back
Top Bottom