Wanawake watakiwa kujiunga na kundi la tff

Wanawake watakiwa kujiunga na kundi la tff

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,819
Reaction score
3,088
Kuna video inasambaa mtandaon ikimuonesha kamanda wa mkuu wa kike wa tff ikiwataka wanawake kujiunga kwa wingi katika kund hilo ili kupigana kwa kile wanachokidai kulipigania taifa kwa kutumia silaha

Nawaza tu kund hili likishirikiana na alshabab au isis tu itakuaje??
 

Attachments

  • Screenshot_20260214_122538_Instagram.jpg
    Screenshot_20260214_122538_Instagram.jpg
    77.5 KB · Views: 7
Punguzeni sauti kidogo basi wakuu, wengine tuna matatizo ya kusikia tuoneeni huruma japo walau kidogo tu zikipigwa sisi tusiosikia itakuaje?
 
Valentine wako kakuvuruga leo husikii kila news😅
Hahaha leo sisikii kabisa yaan masikio yameziba nasikia kwa mbaaali, eeh ulikua umesemaje niambie tena nikusikie
 
Back
Top Bottom