UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
na hatampata mtu tushamjua..........,kama anataka wa kuhonga wanapatikana Buguruni Malapa
eti kama ana magari ma 3 afanyaje
where are you UNDENIABLE uje umuone huyu kijana wako
Dawa yake rahisi sana mpatie notifeki kama elfu hamsini!.Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
Hayatuhusu. This is your private business.Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
Nani alikudanganya Magari, fedha na Vocha zinanunua mapenzi.....Mwenzio ana wa moyoni mwake wanasaidia kutosoa mapene unayompa.....tehe tehe teheeeeeeeeeee ukiona kabeep tena mtumie laki kwani 20 hazimtoshi kulonga ya kimahaba na laazizi wake.
Dawa yake rahisi sana mpatie notifeki kama elfu hamsini!.
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
nimeshindwa kujizuia kucheka
wewe Tamatheo umeanza lini hii tabia mbaya ya kusema ukweli ........
Notifeki,
storifeki!
Umeshindwa kujilipia ada ukasoma upate akili leo hii za kumhonga mwanamke gari utapata wapi? Kweli ww noti 'fekelo'
Huyu jamaa ana mawazo kama ya wanangu wa below 5yrs....yeye anafikiri kupendwa kunahitaji mbwembwe za hela, wapendwaji wanakula na kuhongwa ili waongeze nguvu kwa ajili ya mechi nyingine.
kweli hawana shukutani kabisa sijui umewaokota wapiWanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.