Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.

Kime umanaa apo?
Kanunua simu kampa demu walivyo achana kampokonyaa?
Areareare
mmh ngoja niendele nakazi nilikua napita tu apa.
Mambo kusaidiana. Unamnunulia vocha anawapigia wasio na uwezo wa kununua, au unamnunulia simu wenzio wanasaidia vocha, unamnunulia PICHU wengine wanasaidia kumvua
Waongaji wa kiukweli hawaongeagi kabisa . We hapa unatafuta wadada wa JF wakushobokee tu hamna lolote.
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
na hatampata mtu tushamjua..........,kama anataka wa kuhonga wanapatikana Buguruni Malapa
eti kama ana magari ma 3 afanyaje
where are you UNDENIABLE uje umuone huyu kijana wako
Notifeki,
storifeki!
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
hahaaaa ni kama katunga vile
hard to believe