Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,857
- 10,129
Ukisha kunywa tafuta mbususu
Mbona umezungumza kwa hasira hivyo?Iwe chai au uji mm sijui...
Neno ni mojaaa tu.....
Mimi kwangu, Ex sijui X sijui Ekisi harudiwi hataaa aje na trick gani, kwanza mm tukishaachaa for 3 Months, ujueee ndy imeishaaaa hivyooooo hata out sijui Night date siji....
Pole yakee mdada
that's it my dear,hakunaga thamani ya ex hata siku mojaUnawasiliana na kukutana na ex wako wa nini..??? Hata kama mnasema mmeachana kwa amani basi faham upande mmoja haujaridhia...
Ukiachana na mtu futa namba na uishi kama huyo mtu hajawahi ku exist kwenye huu ulimwengu. And that's my rule
Kumbe we ni keKuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
Yule mwamba alichomwa moto ndan makabe nae si hv hv alitwa na demu ambae walishaachana kumbe demu ana yakeKurudiana au kukubali wito wa kuonana na mtu mliyeachana huwa ni kosa kubwa mno kiufundi.
Si kwa wanawake tu bali hata wanaume hukutana na matukio.
Thamani ya ex waiachie mathematics huko...😂😂that's it my dear,hakunaga thamani ya ex hata siku moja
nipo kipenziThamani ya ex waiachie mathematics huko...😂😂
Umepotea mama...
Ndo mjifunze kupitia kwa mwenzenuKuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
Hufanyagi kwaniKuzini ni dhambi akili kichwani mwako