Wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wa wenye sura mbaya

Hapo vip!

Nimejaribu kuchunguza,nimeona wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wenye sura mbovu,mbovu.

Hivi tatizo ni nini?
Ngoja mimi nichangie hivi,wanawake wengi unaoona wewe ni warembo sio warembo hivyo unavyodhani,unakuta wengi wamefanya mavitu ya kuongezea urembo,inaweza kuwa nguo,cosmetics,nywele na mapambo ya kila aina,wakati kiuhalisia asipojipamba unamkuta ni wa kawaida au hata mboya kabisa wa sura.Kingine wengi wao inawezekana pia sina uhakika sana,huwa wanashabikiwa sana na wanaume wenye sura mbaya au za kawaida sana, kwahiyo kwenye huo mchanganyiko my friend usitegemee muujiza...
 
Sasa Kama pussqueen. Sijui ndo anaitwa hivyo.
Mtoto wake unahisi atarithi zile hips za kichina na sura iliyochongwa atarithi Vitu natural vya pussqueen na si vya mchina.
Ila vingine tumwachie Muumba maana yeye ndo mwamuzi
Kumbe nae kaongeza takle na hips? Walijuq kumpamba kiwa ni natural kumbeee
 
Back
Top Bottom