Wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wa wenye sura mbaya

Mi ntazaa na mwanamke mwenye akili tu kama mnavyojua tena tafiti zimesema wenye mizigo ndio huzaa watoto ma genius. Sintokuwa na budi kujitwalia binti mwenye akili na Kisinyungu cha maaana.
 
100% ni kweli. Kuna tofauti kati ya mrembo na mzuri. Warembo ina maana ni artificial beauty kwa hiyo mtoto atake toka atachukua ile asili ya mama yake. Mzuri=natural beauty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umezaa mwenye sura gani?.Utakua unawaonea wivu wenzako.Tusikosoe uumbaji wa Mungu binadamu wote tumeumbwa kwa mfano wake.
 
Wakuu mnaweza kuweka picha za wanawake wazuri na picha za wanao wabaya tukaona mifano.
 
Wewe umezaa mwenyewe sura gani?.Utakua unawaonea wivu wenzako.Tusikosoe uumbaji wa Mungu binadamu wote tumeumbwa kwa mfano wake.
Haja hoja nyepesi za mtaani huko, njoo na majibu au hoja zenye fact.. Japo kufikiria Kwa watu wengine ni kazi..sawa nakupanda mlima Kilimanjaro.
..
 
Back
Top Bottom