Wanawake warembo hawanivutii kabisa!

Wanawake warembo hawanivutii kabisa!

Hao warembo wana mazuri yao na kasoro zao pia. Hivyo chagua kile moyo wako unachoridhia nacho. Binafsi navutiwa na mwenye sura nzuri hata asipojiremba. Huwa sioni noma kutoka nae out, hachoshi haraka na pia akija kutotoa hataniletea mtoto mwenye sura kama nduli Iddi Amini.
Kwani we sura yako nzuri?
 
hakuna me asiyevutiwa na ke mzuri na hakuna ke asiyependa pesa na vitu vya saman
Chris mauki katika ubora. Uzuri wa kitu upo machoni mwa mtazamaji. Ukiamua kuamini remy ongala alikuwa handsome ilhali mwenyewe aligoma, itakuwa kabisa.
 
Back
Top Bottom