Yaaaay!Hamna mwanamke mbaya, wote wazuri..
mkuu mwanamke wa kawaida yupoje???,...... I'm curious to knwJaribu kujenga picha ya wanawake warembo kuanzia uliyosomea,mtaani mpaka ofisini hali kadhalika na wale wa kawaida then utapata picha,baada ya hapao utakuja na conclusion!
So! Wewe unavutiwa na nini kwa hao wanawake ambao unawaona sio warembo? Usije ukawa domo zege au ndio ile hadithi ya sungura et "sizitaki mbichi hizi!"
Acha tabia za kikeHao warembo wana mazuri yao na kasoro zao pia. Hivyo chagua kile moyo wako unachoridhia nacho. Binafsi navutiwa na mwenye sura nzuri hata asipojiremba. Huwa sioni noma kutoka nae out, hachoshi haraka na pia akija kutotoa hataniletea mtoto mwenye sura kama nduli Iddi Amini.