Wanawake warefu wana raha yake.

Huyu bwana anahangaika kama bisi kikaangoni...kila mara kuweka threads za ajabu ajabu!!!

Kwikwi kwi kwi hii imekukuna sio
 
Wewe nae umetuchosha na vistory vyako vya uongo kha!mwanaume unaona raha gani kutunga vithread vya uongo?maana jana ulisema umeachana na mnywaranda unatafuta mwingine leo unaibuka na story tena sijui za nywele khaaa!!!!!
 
Nadhani umbo linaendana na akili
 
Wewe nae umetuchosha na vistory vyako vya uongo kha!mwanaume unaona raha gani kutunga vithread vya uongo?maana jana ulisema umeachana na mnywaranda unatafuta mwingine leo unaibuka na story tena sijui za nywele khaaa!!!!!

Wewe mrefu au mfupi?
 
Hujakutana na mkurya mrefu
 
mtoto wa miaka 2 au 3 sijakuelewa ni mtoto gani unaemzungumzia mrefu wa fut 5-8.
 
Mwanamke mrefu kupata mwanamme wa kumzidi napo huwa tabu, ukimpata lazima ung'ang'ane.
 
Mmmmmmmmnh! TEAM Tall ladies mkuje hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…