kweli bwana tall ladies ata mie napenda tena nataka yule akivaa high heels anipite kidogo urefu. that feeling ya kana kwamba she dominating me full burudaniiii.
alafu awe anavaa dresses na anabana belt kiunono loh...utamtaka.
last but not least warefu full upole. wafupi wakorofi sana.
Wafupi ukorofi wetu nini??@Mzabzab
Kutunza ni jadi yangu. Mtoto akikohoa lazima niwe karibu
Yaani wafupi hawana fungu.