Wanawake wapo wengi kuliko wanaume ndio maana....

Adam waTZ

Member
Jun 14, 2011
83
9
Takwimu zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani kote ndio maana wanaume wengine wanaoa wakee wengi na wengine wanaoa mmoja lakini nje pia wanatoka ili haki itendeke kwa wote, sasa kila mwanaume akiwa na mke mmoja na nje ya ndoa hawatoki nje inamaana wanawake wengine watakosa wanaume hata wakufanya nao mapenzi tu na huku wengine wakifurahia mapenzi je ni haki? Ndio maana ushindani kwa wanawake kuolewa unaongezeka siku hadi siku na wanandoa wanafanyiwa visa ili waachane na wengine wafaidi so ladies be carefully ukimpata wako assume mko vitani.
 
Hivi ni nani aliwahesabugi hao wanawake? Na wako wengi kiasi gani? Kuna mtu ana namba za idadi yao? Au ndo yaleyale tu kubashiri....?
 
Hivi ni nani aliwahesabugi hao wanawake? Na wako wengi kiasi gani? Kuna mtu ana namba za idadi yao? Au ndo yaleyale tu kubashiri....?
ni takwimu za dunia kupitia sensa zinazofanywa na kila nchi kwani huwa wanauliza jinsia pindi unapo hesabiwa,ww nyani vipi hujawahi hesabiwa nini? Hukimbilia porini au,ama kabila lenu ni mwiko kuhesabiwa?
 
Back
Top Bottom