Wanawake wapeni waume zenu unyumba pia wanaume mjirekebishe

Hivi ni mwanamke gani ambae mmewe anamuheshimu na kumthamini, na kumjali vilivyo ..halafu asimsikilize mmewe? Mnajuwa nyinyi wanawake kinacho washinda kujuwa, nikuwa mwanaume ulio nae WEWE ni tofauti na mwanaume alie nae YULE! Wanaume wanafana tabia lakini wametofautiana busara ..hivyo usilazimishe mwanamke kumsikiiza mwanaume asie faa kusikilizwa wala kuheshimiwa ebo mwanaume anavuruga familia mwanamke amuheshimu vipi ilihali kichwa chake kinawaka moto kurudisha amani ya nyumba yake,hivi hujui kuwa nyumba nyingi zimeshikiliwa (kuvunjika)na uvumilivu wa wanawake ! MWANAUME UKITAKA KUHESHIMIWA NA MKEO JIHESHIMU WEWE KWANZA ..coz WEWE ndio kichwa cha familia, mwanamke ni bendera fata upepo tu (hasa hawa wakizazi cha sasa) bye
Msajiri sijui wa ndoa na taraka , kasema mchepuko inavunja ndoa nyingi sana , na chanzo wababa wake wanavumilia sana mwishowe mke naye akianza ndoa haipo tena, cha ajabu yule aliye kuwa akichepuka naye hamuoi tena anatafutwa mwingine hapo mie huchoka kabisa
 
Ni kweli wanawake wengine hawapendi kujishusha ..lakini je huwa mnaangalia sababu inayomfanya asijishushe ? labda kajishusha Mara nyingi kachoka maana nae ni binadamu sio malaika ati.
That is true ndo maana nkasema
Kwenye makosa n kurekebishana

Hata baadh ya wanaume tukiona
Tuna makosa tunakubali ili kuepusha
malumbano yasio na msingi
 
Msajiri sijui wa ndoa na taraka , kasema mchepuko inavunja ndoa nyingi sana , na chanzo wababa wake wanavumilia sana mwishowe mke naye akianza ndoa haipo tena, cha ajabu yule aliye kuwa akichepuka naye hamuoi tena anatafutwa mwingine hapo mie huchoka kabisa
Nishida kwakweli wanawake wanavumilia vitu vingi mno ..laiti kama Mwenyezi Mungu angebadilisha Mara moja wanawake wakawa wanaume na wanaume wakawa wanawake, halafu wakayatenda yale wanaume walioyatenda before wallah wangekufa kwa presha
 
Tena pressure ni mwezi 1 tu
 
nasema kila siku.....kwanza muwe friend....marafiki marafiki wa kweli kweli haswaaa.........kuwa mke na mume kusipoteze ile hali ya urafiki wa mwanzo.......mwanzo ulikuwa waweza mkiss mahabuba wako popote....baada ya ndoano eti hapana ni aibu mbele za watu....eboooo......mkiwa wawili sehemu yenye busara,,,,unamwambia tangulia nione keyboard......then unabinya kiuchokozi.....mkishaona eti tabia mbaya......yaani mkiwa marafiki mtazeeka kwa raha sana......watoto wenu watawapenda mshangae....familia itakuwa nzuri mno........lakini hii mambo unatoka bar ushapapasa bar maid ukifika home reta ni yangu anachoka....hamu hamunaa tena.......wajua mkiwa marafiki mnaweza toroka kazini mchana mkaenda guest fasta....then shaaaaa....job..... na jioni home kama kawa......
 
Anayetakiwa kumjali mwanaume kwanza ni mwanamke .nakwambia hakuna mwanaume mjanja kwa mwanamke anayejali mme wake
 
Zawadi yakwnza ni kumuachia pesa ya matumizi na kujali mahitaji yake mambo ya zawadi sahau kwa mwanaume labda vivulana na visharo baro.mwanaume huwa hawazi vijizawadi huwaza mizawadi just hata moja kwa mwaka lkn hutaisahau
 
Back
Top Bottom