Wanawake wapeni waume zenu unyumba pia wanaume mjirekebishe

""mpe pesa mkeo inajulikana wanawake tunapenda pesa toka tukiwa wadogo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kweli tunapenda kabisa
,mpe mkeo pesa "Mke wangu chukua hii utanunua vitu vyako unavyopenda "usitake kujua atakavyonunua maana wengine mkeo akimuomba pesa tu heee utaulizwa unaenda kununua nini eti ajue ,wapeni wake zenu pesa sio kununua nyama tu nyumbani akila ameshiba basii,moe kutokana na uwezo ulionao""....

:D:D..huko udogoni kweni ni chuo gani hicho mlichofuzu cha kupenda pesa,kiliko kuitafuta..:cool::cool:?
hiyo nongwa yenu ya kupenda pesa mnajaribu kuihalalisha....mnajitia ulemavu wa kupenda pesa:rolleyes::rolleyes::rolleyes: ambao ni tofauti kabisa na kusudio la mungu...
 
duh.wakati mwingine wanawake walioko kwenye ndoa wanakera sana. unalazimika kutafuta mchepuko bila kutaka....
 
""mpe pesa mkeo inajulikana wanawake tunapenda pesa toka tukiwa wadogo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kweli tunapenda kabisa
,mpe mkeo pesa "Mke wangu chukua hii utanunua vitu vyako unavyopenda "usitake kujua atakavyonunua maana wengine mkeo akimuomba pesa tu heee utaulizwa unaenda kununua nini eti ajue ,wapeni wake zenu pesa sio kununua nyama tu nyumbani akila ameshiba basii,moe kutokana na uwezo ulionao""....

:D:D..huko udogoni kweni ni chuo gani hicho mlichofuzu cha kupenda pesa,kiliko kuitafuta..:cool::cool:?
hiyo nongwa yenu ya kupenda pesa mnajaribu kuihalalisha....mnajitia ulemavu wa kupenda pesa:rolleyes::rolleyes::rolleyes: ambao ni tofauti kabisa na kusudio la mungu...
Toka wadogo tunapenda mpaka leoo
 
Mapenzi yameporomoka kwa kasi sana siku hizi tofauti na zamani! Ukionesha upendo kwa mke/mume wako wanadamu hawakawii kusema kuna namna..wanawake nao tukionesha tunawajali wanasema tunajipendekeza..!? Mapenzi yataendelea kumea kifuani kwangu tu ila sitamuonesha kama nampenda hah hah hah
 
Mada za ngono mbona zimezidi
Tunaomba mtupumzishe kidogo ,tukigeuka kidogo mala papuchi mara dudu aiseeeeeh! Hata kama ni nyege mshindo zipunguzeni
Cc:Mahondaw
mkuu...hi ni MMU, unataka humu ukute wamejadili 1.5trillion ???

joke!
 
Back
Top Bottom