Wanawake wangapi washawahi kuvaa lady pepeta

Wanawake wangapi washawahi kuvaa lady pepeta

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
7,184
Reaction score
8,039
Habari ya muda huu

Naomba nisaidie jibu la swali hapo juu maana nipo kwa pharmacy moja jamaa yangu analalamika tokea azinunue hizi condom hakuwai uza hata moja hii ni miezi kazaa sasa imepita yaani mpaka zime expire leo kuona uzi wa condom ndio nimekumbika aisee
 
Kwanza ni headache kuzifix mpaka unapofanya kitendo zinazingua.nilishawh tumia na mtu nikaona bora nivae za kiume tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom