Wanawake wanazeeka haraka etii

Wanawake wanazeeka haraka etii

1. Kutoa mimba
2.Vipodozi (Chemicals)
3.Kuzaa (hususani mitoto mingii)



4.Ukurumbembe(kutombwer tombwer hovyo mitaani)...hivi unafikiri kati ya "punching bag" na "bondia" nani huwa anachakaa haraka??[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ra
Hiyo ni kweli bila kubisha
Ila sijawahi kujua sababu ya msingi ya sisi kuwa hivyo
Rate ya ukuaji kwa wanawake ni kubwa na wanawahi kuwa matured kuliko wanaume , balehe kwa msichana inaanza hata akiwa na 9 to 10 but kwa mvulana inaweza anza kwenye 14 au 16 huko , kuna prof wangu mmoja aliniambia wanaume wako complex sana during formation yao wakiwa tumboni mwa mama zao na hii huwagharimu sana mama zao kipindi cha ujauzito kwani hupata shida sana tofauti na wadada,
 
M
Hormone ya Estrogen ndio chanzo.

Estrogen ina faida nyinngi kwenye ngozi (anti-aging effects) .Mwanamke anapofikia au kukaribia menopause, 40-45years (wakati ambapo anaacha kupata hedhi) hupoteza estrogen kwa wingi, ngozi hupoteza collagen, antioxidant protection na moisture content.

Estrogen pia ina anti-inflammatory properties (kinga dhidi ya maradhi ya ngozi) , kwahiyo mwanamke alifikia menopause anaweza kupata magonjwa ya ngozi. Idadi ya mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye ngozi nayo hupungua kadiri estrogen inavyopungua, hii husababisha ngozi kutokuwana afya nzuri na muonekano mzuri (makunyanzi).
Mkuu huyu jinifer lopez atakuwa anachoma sindano ya hiyo hormone nn
 
Enyi wanawake wa kitanzania jitahidi kufanya mazoezi kuweka miili imara, pia mpunguze kujiremba sana make up zinazeesha sura, pia wanawake huzeeka mapema kuliko wanaume sababu ya kuzaa ndio maana utaona wale wanawake ambao hawakujaaliwa kupata watoto hua wanaishi muda mrefu na hua warembo.

Kuna mtu kaninong'oneza hapa anasema hadi ndoa huzeesha pia, lol.

Nasisitiza tena, MAZOEZI muhimu.

Kuzaa sio sababu labda watoto 10+, Zari kafyatua kama kiwanda lakini bado yupo vema, hapo kwenye mazoezi nakubaliana na wewe!
Pia make up zisizo na utaratibu!!!
 
Back
Top Bottom