Wanawake wanazeeka haraka etii

Wanawake wanazeeka haraka etii

Inawezekana tunazeeka kweli kuliko nyie kwasababu wanawake wengi tunafanya majukumu yetu na yenu kwa wakati mmoja,.sasa tena kama matunzo yenyewe ya kutafuta kwa tochi,no honey no milk asee lazima tupokee tuu hizo shkamoo kakuna namna...

Ila mm sizeeki jomonii kila siku kama kamdoli vile[emoji4][emoji4]teh teh teh...forever young'
Bila picha hii ni kawaha na sio chai
Hahahaaaa dyadya tunataka pichaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh! Kamuita fataki mwenzake.
Kwahiyo jamaa fataki?
Kwa hiyo wewe kilichokuuma ni fataki?? je ndio tabia zako za kifataki?? basi acha mara moja maana siku hizi ukikutwa na binti wa mtu hupelekwi polisi wanakuja mabaunsa kama sita hivi ukitoka hapo hiyari yako ukasimulie au ukaushe.
 
Hebu tulia upunguze hasira zako za uzee. Ufataki ni haiba ya mtu tangu akiwa mdogo, anaweza kuwa fataki kwa wakubwa zake au wadogo zake.

Nawe unaweza kuwa fataki kwa kutembea na baba zako au wadogo zako. Ni suala la mtu mwenyewe kujijua na kujitambua.

Enyi wanawake wa kitanzania jitahidi kufanya mazoezi kuweka miili imara, pia mpunguze kujiremba sana make up zinazeesha sura, pia wanawake huzeeka mapema kuliko wanaume sababu ya kuzaa ndio maana utaona wale wanawake ambao hawakujaaliwa kupata watoto hua wanaishi muda mrefu na hua warembo.

Kuna mtu kaninong'oneza hapa anasema hadi ndoa huzeesha pia, lol.

Nasisitiza tena, MAZOEZI muhimu.
Kwenye mazoezi tuachieni wanaume tuwafanyishe jogging kunako sita kwa sita.

Tangu muambiwe haki sawa hata kutanua mapaja mnaweka ratiba.
Mazoezi mazuri ni ya ndani ukitoka nje ni kusaka pesa.
 
Hebu tulia upunguze hasira zako za uzee. Ufataki ni haiba ya mtu tangu akiwa mdogo, anaweza kuwa fataki kwa wakubwa zake au wadogo zake.

Nawe unaweza kuwa fataki kwa kutembea na baba zako au wadogo zako. Ni suala la mtu mwenyewe kujijua na kujitambua.

Hahahaha kumbe quotes zote hizo lengo ni kusema mimi mzee!? sasa uzee ni tusi? kwanini mtu awe na stress za uzee na wakati ni wajibu kuzeeka kama uhai upo?? mimi nina miaka 50 sasa lakini unaweza kunizoom kwa avatar uone uzee wangu,

lol, na ushindwe kunihusisha na ufataki wako, kafatakie hukoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitashukuru

Hormone ya Estrogen ndio chanzo.

Estrogen ina faida nyinngi kwenye ngozi (anti-aging effects) .Mwanamke anapofikia au kukaribia menopause, 40-45years (wakati ambapo anaacha kupata hedhi) hupoteza estrogen kwa wingi, ngozi hupoteza collagen, antioxidant protection na moisture content.

Estrogen pia ina anti-inflammatory properties (kinga dhidi ya maradhi ya ngozi) , kwahiyo mwanamke alifikia menopause anaweza kupata magonjwa ya ngozi. Idadi ya mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye ngozi nayo hupungua kadiri estrogen inavyopungua, hii husababisha ngozi kutokuwana afya nzuri na muonekano mzuri (makunyanzi).
 
Wanawake wengi wanawahi kuchoka haraka.
Kuna mmoja ni school mate wangu. Tulikutana kwenye gari nikamuamkia nikidhani ni jimama.

Baadae kumbe yeye alinifahamu, baada ya safari ya kama saa 1 akaniuliza, nikamkumbuka.
Nikamwambia anirudishie shikamoo yangu.
Kuna wengine nawaona fb yamekuwa majimama...huenda nakutana nayo mi cyakumbuk...ila wengi weng ktk maclass meti yangu ya kike yanankumbuka wanasema me npo vzle vle cbadlk lbd ndevu tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hehehhehe nizoom uone kwenye Profile yangu.

Hahahaha kumbe quotes zote hizo lengo ni kusema mimi mzee!? sasa uzee ni tusi? kwanini mtu awe na stress za uzee na wakati ni wajibu kuzeeka kama uhai upo?? mimi nina miaka 50 sasa lakini unaweza kunizoom kwa avatar uone uzee wangu,

wenzio wanadandia magari wewe unadandia maneno, lol fatakiiiiiiii na ushindwe kunihusisha na ufataki wako, kafatakie hukoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana tunazeeka kweli kuliko nyie kwasababu wanawake wengi tunafanya majukumu yetu na yenu kwa wakati mmoja,.sasa tena kama matunzo yenyewe ya kutafuta kwa tochi,no honey no milk asee lazima tupokee tuu hizo shkamoo kakuna namna...

Ila mm sizeeki jomonii kila siku kama kamdoli vile😊😊teh teh teh...forever young'
Hahahah ndo yale yale...
 
Nikweli mkuu,kuna dada tuligraduate naye standard seven,daah kazeeka kabisa....nimeamini ningumu kuoa classmate wa wako labda itokee tu
Mimi mbona nmeoa classmate wangu wa mpk standard 4...na bdo kaschana tuuu kazuri hako...nadhan ni kwa7bu hakajatumika snaa na wanaume wengi
 
Back
Top Bottom