Guerreiro
JF-Expert Member
- Dec 22, 2018
- 736
- 1,135
Dah hakuna wanawake naogopa kama hivyo vitoto, bora niwe na mtu anayenizidi umri kuliko mtoto.Kwikwikwikwi macho yako yamejieleza ulivyo fataki tena yanasema ni fataki wa vitoto vya darasa la nne..... bro jela inakuita walai tena, lol.
(japo picha si yako)
Picha ni yangu na hapo nilikuwa 35 yrs.