Rugas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 1,048
- 196
<br />Mimi nakubaliana nawe kwa kiasi kikubwa japokuwa nina point kidogo ya kuchangia, si vyema kuwalaumu wanawake kwamba wanasababisha upungufu wa nguvu ya mtalimbo, kwa sababu haya ni matatizo tuliyonayo sisi wenyewe kutokana na mapungufu yetu mbalimbali ya kimwili.lakini pia nikusapoti tu kwamba mwanamke ana uwezo wa kusaidia kwa asilimia kubwa tu kuweza kupata ufumbuzi wa tatizo hili, husussan katika kipengele chako cha pili kwamba mwanamke mwenye ujuzi katika tendo la ndoa huweza kutoa msisimko wa aina yake hivyo kumfanya mwanamme mwenye upungufu wa nguvu kuweza kugain power.Nitoe mfano hai kwa mimi mwenyewe, umri wangu ni miaka 40,hapo zamani enzi za 16-35. nilikuwa na uwezo wa kuunganisha magoli 2 ndani kwa ndani, yaani kile cha kwanza chenye kiherehere nilikuwa naunganisha na cha pili humohumo bila kutoa nje. na pia nilikuwa nafululiza kila siku mchezo huo karibu wiki 3 za mwezi. leo hii huwa napiga bao 1 kisha nakula pozi kama dakika 40 au hata saa nzima kisha jogoo anawika tena naingia mchezoni, hili la pili kama kawa ni la muda mrefu nikipiga bao hilo nalala hadi mapambazuko hapo napata la tatu na ndio mwisho wa mchezo.lakini kitu cha kushangaza, nililala na malaya mmoja, hata sikumpenda kwani ni rafiki yangu ndo aliniletea tulipolala Hotel, kwa kuwa nilikuwa nina "njaa" basi nilikubali kwa shingo upande kuwa nae. lile bao la kwanza nililipata haraka haraka na nikatamani nimfukuze, nafikiri alitambua nini mawazo yangu, aliniparamia kifuani na kuanza kunishikashika, badala ya mimi kunyonya chuchu zake yeye ndio akawa ananinyonya, ghafla mwili ukasisimka, jogoo akawika kwa muda mfupi sana ndani ya dk 10 tu tangu bao la kwanza jogoo alishawika tena, akaanza kupanda kwa awamu ya pili. baada ya bao la pili yule Dada akaondoka kwenda kwao. huku nyuma nilishangaa sana nikasema kumbe bado nina uwezo uleule wa enzi zangu. kinachotakiwa ni mitindo tu ya mchezo. wakati mwingine hawa wake zetu eti wanaona aibu kuwafanyia mitindo waume zao, ndio maana jogoo anaweza kuwika mara 1 au 2 tu kwa siku. huko nje majogoo yanawika sana. Tuwaelimishe wake zetu wasitubanie mitindo.
<br />hata mkeo siku anapotoka,anaridhìshwa sana na hao wanaume wa nje,hapo ndo pa kujiuliza maswali.