Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,975
Likes
5,347
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,975 5,347 280
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa ya kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na yenye mahitaji makubwa katika jamii.

Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hiyo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi.

Hata hivyo, utafiti unaonesha kuwa wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo’ la kuwasaidia kuamsha hisia zao.

Kwa wanaume ukosefu wa nguvu ni jambo linalouma na kuondoa kabisa ujasiri. Wengi kati yao wako tayari kutumia pesa na uwezo wao wote kuhakikisha kuwa heshima ya tendo la ndoa wanaimiliki daima.

Lakini, watafiti wa masuala ya mapenzi nikiwemo mimi, tumegundua kuwa wengi kati ya hao wanaolalamika kupungukiwa nguvu, hawafahamu chanzo cha matatizo na namna wanavyoweza kuepukana na kasoro hiyo.

Ushahidi uliopatikana kwa waathirika wa tatizo hili, unaonesha kuwa wanaume wanapokabili upungufu wa nguvu za kiume huishia kujuta na kujilaumu wenyewe bila kutazama upande wa pili wa washirika wao, namaanisha wanawake.

Zipo kesi za wanaume kujiua au kujinyofoa sehemu za siri kwa sababu ya kushindwa katika tendo. Hali hii inatoa picha kwamba mzigo wa lawama hujitwika wenyewe.

Dokta Bianca P. Acevedo kutoka Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara anasema, wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo nami nalithibitisha kwa ushahidi wa kitaalamu ufuatao:

1: KAULI
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litamfanya aanze kupoteza nguvu za kiume taratibu.

Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwabia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!”

2 : UJUZI
Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume husika kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.
Mada hii itaendelea toleo lijalo.

Wiki hii nitakuwa nikitoa ushauri kwa wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume. Muda wa kuwashauri kwa njia ya simu ni saa 4 usiku. Na wale wa ana kwa ana ni Jumapili saa 5 asubuhi. chanzo: Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume - Global Publishers
 
Attachments:

Ziada Mwana

Ziada Mwana

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
201
Likes
0
Points
0
Age
38
Ziada Mwana

Ziada Mwana

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
201 0 0
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa ya kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na yenye mahitaji makubwa katika jamii.Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hiyo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi.Hata hivyo, utafiti unaonesha kuwa wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo’ la kuwasaidia kuamsha hisia zao.Kwa wanaume ukosefu wa nguvu ni jambo linalouma na kuondoa kabisa ujasiri. Wengi kati yao wako tayari kutumia pesa na uwezo wao wote kuhakikisha kuwa heshima ya tendo la ndoa wanaimiliki daima.Lakini, watafiti wa masuala ya mapenzi nikiwemo mimi, tumegundua kuwa wengi kati ya hao wanaolalamika kupungukiwa nguvu, hawafahamu chanzo cha matatizo na namna wanavyoweza kuepukana na kasoro hiyo.Ushahidi uliopatikana kwa waathirika wa tatizo hili, unaonesha kuwa wanaume wanapokabili upungufu wa nguvu za kiume huishia kujuta na kujilaumu wenyewe bila kutazama upande wa pili wa washirika wao, namaanisha wanawake.Zipo kesi za wanaume kujiua au kujinyofoa sehemu za siri kwa sababu ya kushindwa katika tendo. Hali hii inatoa picha kwamba mzigo wa lawama hujitwika wenyewe. Dokta Bianca P. Acevedo kutoka Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara anasema, wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo nami nalithibitisha kwa ushahidi wa kitaalamu ufuatao:1: KAULIMiongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litamfanya aanze kupoteza nguvu za kiume taratibu. Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwabia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu kwa kuwaambia maneno kama haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!”2 : UJUZIWanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume husika kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.Mada hii itaendelea toleo lijalo.Wiki hii nitakuwa nikitoa ushauri kwa wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume. Muda wa kuwashauri kwa njia ya simu ni saa 4 usiku. Na wale wa ana kwa ana ni Jumapili saa 5 asubuhi. chanzo: Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume - Global Publishers
Mimi nakubaliana nawe kwa kiasi kikubwa japokuwa nina point kidogo ya kuchangia, si vyema kuwalaumu wanawake kwamba wanasababisha upungufu wa nguvu ya mtalimbo, kwa sababu haya ni matatizo tuliyonayo sisi wenyewe kutokana na mapungufu yetu mbalimbali ya kimwili.lakini pia nikusapoti tu kwamba mwanamke ana uwezo wa kusaidia kwa asilimia kubwa tu kuweza kupata ufumbuzi wa tatizo hili, husussan katika kipengele chako cha pili kwamba mwanamke mwenye ujuzi katika tendo la ndoa huweza kutoa msisimko wa aina yake hivyo kumfanya mwanamme mwenye upungufu wa nguvu kuweza kugain power.Nitoe mfano hai kwa mimi mwenyewe, umri wangu ni miaka 40,hapo zamani enzi za 16-35. nilikuwa na uwezo wa kuunganisha magoli 2 ndani kwa ndani, yaani kile cha kwanza chenye kiherehere nilikuwa naunganisha na cha pili humohumo bila kutoa nje. na pia nilikuwa nafululiza kila siku mchezo huo karibu wiki 3 za mwezi. leo hii huwa napiga bao 1 kisha nakula pozi kama dakika 40 au hata saa nzima kisha jogoo anawika tena naingia mchezoni, hili la pili kama kawa ni la muda mrefu nikipiga bao hilo nalala hadi mapambazuko hapo napata la tatu na ndio mwisho wa mchezo.lakini kitu cha kushangaza, nililala na malaya mmoja, hata sikumpenda kwani ni rafiki yangu ndo aliniletea tulipolala Hotel, kwa kuwa nilikuwa nina "njaa" basi nilikubali kwa shingo upande kuwa nae. lile bao la kwanza nililipata haraka haraka na nikatamani nimfukuze, nafikiri alitambua nini mawazo yangu, aliniparamia kifuani na kuanza kunishikashika, badala ya mimi kunyonya chuchu zake yeye ndio akawa ananinyonya, ghafla mwili ukasisimka, jogoo akawika kwa muda mfupi sana ndani ya dk 10 tu tangu bao la kwanza jogoo alishawika tena, akaanza kupanda kwa awamu ya pili. baada ya bao la pili yule Dada akaondoka kwenda kwao. huku nyuma nilishangaa sana nikasema kumbe bado nina uwezo uleule wa enzi zangu. kinachotakiwa ni mitindo tu ya mchezo. wakati mwingine hawa wake zetu eti wanaona aibu kuwafanyia mitindo waume zao, ndio maana jogoo anaweza kuwika mara 1 au 2 tu kwa siku. huko nje majogoo yanawika sana. Tuwaelimishe wake zetu wasitubanie mitindo.
 
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
1,220
Likes
1,104
Points
280
pangalashaba

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
1,220 1,104 280

astakafullah............. jf ni noma!
 
O

omy100

Member
Joined
Jul 24, 2011
Messages
27
Likes
0
Points
0
Age
38
O

omy100

Member
Joined Jul 24, 2011
27 0 0
KWA.
mtazamo wangu,kuna hisia za mke wako,yaani muko nae pamoja kwa mda mrefu,na mwanamke wa nje,simanishi waume tutoke nje,ikiwa waona mke wako hawajibiki kwenye tendo,basi inabidi wewe ndio uwe mtundo na mambo yatakaa mstari
 
Mnyampaa

Mnyampaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Messages
244
Likes
0
Points
0
Mnyampaa

Mnyampaa

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2011
244 0 0
Huyo dem kwenye attachment ananipandisha hisia...
 
SaidAlly

SaidAlly

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
2,057
Likes
1,097
Points
280
SaidAlly

SaidAlly

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2011
2,057 1,097 280
Mgao wa umeme na ugumu wa maisha navyo vinachangia...wadada msitulaumu....Ngereja huyo ndio asurubishwe msalabani.
 
ibraton

ibraton

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
312
Likes
133
Points
60
ibraton

ibraton

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
312 133 60
Hayo ni matatzo ya mtu mmojammoja hasa waliopata jando hospitalin siye kule porini wanaupaka dawa ududu haupotezi nguvu hata ukifika miaka200'kama anavyosema dada hapo juu umeme na folen za barabarani ndio chanzo'
 
KALYOVATIPI

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,418
Likes
14
Points
0
KALYOVATIPI

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,418 14 0
mimi nikitoboa nje hata ngoma nne natema lakini home du! Moko tu mpaka viungo nikijinyoosha vinalia yani hoi duh sijui mazoea mpaka waif nae kazoea siku nikimwambia turudie hataki sasa labda tumelogwa
 
A

Asuu

Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
39
Likes
0
Points
0
A

Asuu

Member
Joined Sep 8, 2011
39 0 0
Hivii? Wana jf. Utofauti wa kutiwajando nawenyewe unaweza kuani sababumojawapo katika upungufu wa nguvuza kiume?sasaa! Ah! Sierewi turudie jandoza porini??? Au.
 
A

Asuu

Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
39
Likes
0
Points
0
A

Asuu

Member
Joined Sep 8, 2011
39 0 0
Na mwamini mtaalam, alietoa mchanganuo, hadikufikia,kipengele cha wenza wetu, nikweli. Wenzawetu,siowabunifu,kwamaanahiyo bas nyumbandogo kama kawa!.
 
Nebisirwe

Nebisirwe

Senior Member
Joined
Jul 27, 2011
Messages
169
Likes
0
Points
0
Nebisirwe

Nebisirwe

Senior Member
Joined Jul 27, 2011
169 0 0
Kazi kwako mzee kwangu nipoa tua maana kazi si ya mmoja bali wote msaidiane
 
Forum statistics

Threads 1,236,340
Members 475,106
Posts 29,254,803