Wanawake wanavyojiweka siku hizi, ndiyo husababisha wanaume wengi wajihisi hawana nguvu za kiume.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu,

Mavazi ya half naked kwa kina dada

Picha za uchi za kina dada..

Ndiyo chanzo kabisa cha kuwafanya wanaume washindwe kazi kitandani kwa kukosa mzukaa.

Maumbile ya mwanamke yanatakiwa yasitiriwe ili kwamba, pale mwanamume anapoyaona chumba yampe stimu maana atakua hajazoea kuyaona ona.

Lakini wadada wasiku hizi wanavyovaa, ni chanzo kikubwa cha wanaume kukosa hamu ya mapenzi. Maumbile ya wanawake yamekua yamezoeleka machoni pa mwanamume.

Imefika pahala mwanamume anaweza kuiona hata picture ya mwanamke aliye uchi na wala asisimamishe. Hii inatokana na kuzoea kuyaona maumbile hayo mara kwa mara.

Mtu anaweza kujihisi hana nguvu za kiume kumbe ni akili imeshayazoea maumbile ya mwanamke na kuyaona ya kawaida kwaiyo kutopandisha mzuka hata mkiwa chumbani.

Ktk kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi, akili na saikolojia yako ni jambo la msingi sana.

Mwanamume Jitahidi kuepuka picha za utupu za kina dada pamoja na video za ngono maana zina mchango mkubwa sana ktk kukupunguzia hamu ya tendo la ndoa.
 
Upungufu wao unatokana na kupiga "nyeto", kutokufanya mazoezi, kula vyakula vya nyoronyoro, hawana skills na knowledge za mapenzi
Hizo ni sababu pia but hazihalalishi niliyoitoa kwenye uzi huu isiwe nayo sababu.
 
Hili swala liko kiakila zaidi kuliko kimazoea....ndo maana kwa wale wenye wachumba au wake sio kwamba unakua na tamaa au hisia muda wote hapana....but ukiamua kwamba leo nifanye mzuka unapanda, mzigo unapigwa then stor zinaendelea
 
Back
Top Bottom