Wanawake wanavutiwa na mambo haya

Dogo inaelekea wewe ni "ajira mpya'' hujawahi kuhudhuria kikao Cha wanaume hata kimoja. Tulishakubaliana pesa ndio first priority kwa mwanaume hwote halafu mengine hayo ndio yafuate.

Hatutamvulia mwanaume yeyote atakayeleta hoja kikaoni eti kaumizwa au kuachwa kisa Hana pesa.
 
Naona wengi mmekazania sana pesa. Lakini kumbukeni pesa pekee haitoshi. Si unaona ma sugar mummy yanatafuta Vibenten vinavyojua kuvaa na kupendeza tena wanavihonga Sasa kwa nini wasiwafuate wenye pesa wenzao wanafuata vibenten. Shtukeni mazee.
Dogo unapenda kuolewa fala kabisa
 

Nimesoma 1, 2, 3 hakuna pesa…

Nimekataa hii
 
1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk...
Hawajui wanataka nini
 
1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk...
Kwahiyo siku hizi pesa siyo kigezo tena.
 
Pesa una tafta mda gani ..... simply wanawake wanavutiwa na maokoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…