Wanawake wanavutiwa na mambo haya

Hayo ni majukumu ya Mwanamke kwa Mume mwenye Pesa.
Tengeneza pesa tu yeye atakusafisha atakuvisha kwa swaga apendazo na kukunukishia perfume apendayo mwenyewe.
Wacha kujivika Majukum ya Wanawake.
 
Utakuja olewa kwa kuendekeza pigo hizo, mwanaume zingatia kazi acha kuzingatia urembo ili umfurahishe manzi.

Kuna wanaume siku hizi wana olewa na wewe una elekea huko huko kwa hizo pigo
Ina ukweli hii mwanaume ukizangatia sana urembo lazima kuna siku utapata ujumbe wako watu wanataka kukutolea posa
 
Uzi huu bila video kwa uthibitisho ni ubatili kama na wewe unawavutia au ndo ile fuata mafunzo yangu na sio unayoyafanya

Anyways
Hayo yote bila pesa hope huwezi kuyafanya ko suruhisho ni money mkuu na nimeenda 😀
 
mwanaume akijiita tu brownsijui nn naanza kumuweka kwenye ule Mlengo wa upinde wa rain

kwa rika lako uko Sawa mtoa Mada hayo ndio mambo yanawavutia jipodoe uwe brown zaidi
 
Naona wengi mmekazania sana pesa. Lakini kumbukeni pesa pekee haitoshi. Si unaona ma sugar mummy yanatafuta Vibenten vinavyojua kuvaa na kupendeza tena wanavihonga Sasa kwa nini wasiwafuate wenye pesa wenzao wanafuata vibenten. Shtukeni mazee.
 
Dogo, ifikie wakati utofautishe kati ya neno mwanamke, na msichana/girlfriend! Hao unao waongelea wewe na kwa umri wako ni wasichana/girfriends!
Ila ukija kwa wanawake sasa!! Hawa siku zote wanachokipenda kwa mwanaume ni pesa! Yaani no money, no love!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…