Wanawake wanatuchukuliaje wanaume aina hii?


Hapo cha kufanya mtafutie wife safari ya ghafla, wife aondoke hapo home ili uwe huru huyo binti akija.
 
Mwambie akope tu, ulipo hakuna huduma za fedha.Akija mfikishe pahala kwa msela umtafune mchana kutwa na umwambie una safari jioni.Huwa Hawapendi ukweli utamrusha ndege huyo kashanasa
 
Hilo tatizo linaweza kutoa kwenye mchezo na kukuharibia vingi hasa mwanaume mwenye majukumu
Sio kukutoa tu. Unakaribisha negative elements kwenye maiaha yako bila wewe kujua. Is why wanaume wenye msimamo ni favourite kuliko ambao hawawe kusema hapana
 
We ni mtu wa ajabu. Uliwezaje kumueleza mke wako kuhusu huyo binti. Hata kama huja-date naye hukuwa na haja ya kumueleza mkeo. Kuna mambo mwingine kama mwanaume unatakiwa ukae nayo kifuani.
 
Kwenye hiyo ndoa nani ni mwanamke na nani ni mwanaume?
 
Mkuu Ndio ishu inayonipa wakati mgumu wadau wengine wanasema nimkodie lodge unaanzaje kumkosoa mtu lodge mtu ambaye hajawahi kuongelea kuhusu mapenzi
Sasa kwako anakuja kufanyaje au kutalii?
 
Ulimwambia mkeo umekutana na mwanamke kwenye gari, mkapiga story, mkabadilishana namba na unamchukulia kama dada ako??? Aseeee.....
 
Umesahau leo kuambatanisha picha zako zile ukiwa sayarini FB?
 
Kuna muda huwa najiona mimi ni mjinga sana ila kumbe viwango vya ujinga vinapisha na mpumbavu kama huyu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…