Wanawake wanatuchukuliaje wanaume aina hii?

Wanawake wanatuchukuliaje wanaume aina hii?

Habari wakuu

Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari
Umeoa lakini hujielewi.
 
Umeoa kweli wewe? Hiyo mkeo unamuhendo vp kama ishu ndogo kama hii unaombea ushauri huku jf mbaya zaidi hadi kwa mkeo.
Nimemshangaa. Huyu na mashaka hata kuoa kama kaoa. Small issues kama hiz ni za kupotezea
 
Hili nalo jambo kubwa la kuandalia uzi mkuu?

Kama Mwanaume huelewi ni maamuzi gani ya kuamua mpaka sasa?

Mwanamke umemtamani, akaanza kununulia vitu kwenye Gari na story kibao, mkaanza kusaidiana shida zenu anakutumia pesa na yeye unamtumia, sasahivi anataka kuja kwako unamuambia Mkeo, jomba upo Sawa kweli?

Huyo mwanamke una undugu naye?

Hujui anataka kuja kwako kuja kufanya nini?

Ndoa yako ina muda gani mkuu?
Unamaanisha nisingemwambia wife ningemla kimya kimya sasa mkuu ningetaka kumla ningemla kwao ila nilibadili gia kwenye bus baada ya kuona sio kila mwanamke alie mbele yako umle mbona uzi umejieleza vizuri

Nimemwambia wife kutokana sijaona ubaya ikiwa nimemchukulia kama dada au ndugu mwingine wa kike.

Kinachofanya nilete uzi kuomba ushauri ni kwamba sisi binadamu huwaza tofauti unaweza sema na yy ananichukulia hivyo kumbe na yy anawaza kama wana wanavyonilaumu hapo juu hapa ndio nipo kwenye panda njia nisije kusababisha mtafaruku
 
1. Sijaona mantiki ya kumshirikisha wife, itakuletea balaa mbele ya safari;
2.Mfahamishe aifahamu status yako baada ya hapo ataamua(mtaamua) kuendelea au vinginevyo.
 
Unamaanisha nisingemwambia wife ningemla kimya kimya sasa mkuu ningetaka kumla ningemla kwao ila nilibadili gia kwenye bus baada ya kuona sio kila mwanamke alie mbele yako umle mbona uzi umejieleza vizuri

Nimemwambia wife kutokana sijaona ubaya ikiwa nimemchukulia kama dada au ndugu mwingine wa kike
Kinachofanya nilete uzi kuomba ushauri ni kwamba sisi binadamu huwaza tofauti unaweza sema na yy ananichukulia hivyo kumbe na yy anawaza kama wana wanavyonilaumu hapo juu hapa ndio nipo kwenye panda njia nisije kusababisha mtafaruku
Umekuwa muwazi kuelezea ukweli kwa upande wako ila kwanini huu ukweli usimueleze na huyo mwanamke aelewe uhalisia?

Kinachokupa wakati mgumu ni kwasababu ya kutoongea ukweli kwake hivyo unawaza vipi akijua una mke?

Lengo lako ni lipi hasa wewe kushindwa kumueleza una mke??

Kiufupi huyo mwanamke haji kuitazama familia yako anakuja kukuona wewe na atimize haja ya moyo wake.
 
Habari wakuu

Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari
Inaelekea kila kitu ufanyacho lazima umwambie mkeo.

Anyways.... ila kwa hili mpaka sasa bado sijapata jibu kamili kwamba kati yako na mkeo nani akili zake ni mwezi mchanga zaidi...
 
No more Mr Nice Guy.

Tafuta hicho kitabu soma mkuu kitakusaidia sana.
images (1).jpg
 
Upande mmoja uko sawa, tena ni vizuri ukimwambia kuwa una mke, lakini upande wa pili nyie ndio mnasababisha wanaume tuonekane mabwege kimtindo!! Ulishindwaje kumpelekea moto mwisho wa safari!!
 
Ila ningekwambia safari yetu iliishia gest ningekuwa nimejielewa?
Haijalishi mtaishia makaburini. Lakin ishu kama hiyo una handle vizur tu. Kulikuwa hakuna haja ya kumwambia mtu.

Grow some balls man.. acha kuwa mr.nice guy utakaribisha negative elements kwenye maisha yako
 
Umeoa kweli wewe? Hiyo mkeo unamuhendo vp kama ishu ndogo kama hii unaombea ushauri huku jf mbaya zaidi hadi kwa mkeo.
Kuna usemi ulikuwa unasema

MCHEPUKO UNAKUSUMBUA HADI UNATAMANI UMHADITHIE MKE

hii ndio iliyo mkuta mdau
 
Kaka shikamoo, mie mdogo wako sijaona mantiki ya kumficha huyo dada marital status yako Hadi sasa, wee muweke wazi ndio utajua lengo la kutaka kuja home ni Nini
 
Back
Top Bottom