Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,020
Unampenda? Hebu kua na maamuzi ya kiume basi!Naogopa kutesa hisia zake maana mawazo hutofautiAna mkuu
Unampenda? Hebu kua na maamuzi ya kiume basi!Naogopa kutesa hisia zake maana mawazo hutofautiAna mkuu
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari
Mwambie akope tu, ulipo hakuna huduma za fedha.Akija mfikishe pahala kwa msela umtafune mchana kutwa na umwambie una safari jioni.Huwa Hawapendi ukweli utamrusha ndege huyo kashanasaHabari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari
Sio kukutoa tu. Unakaribisha negative elements kwenye maiaha yako bila wewe kujua. Is why wanaume wenye msimamo ni favourite kuliko ambao hawawe kusema hapanaHilo tatizo linaweza kutoa kwenye mchezo na kukuharibia vingi hasa mwanaume mwenye majukumu
Umeiweka vema mkuu. Sahihi kabisa.Sio kukutoa tu. Unakaribisha negative elements kwenye maiaha yako bila wewe kujua. Is why wanaume wenye msimamo ni favourite kuliko ambao hawawe kusema hapana
We ni mtu wa ajabu. Uliwezaje kumueleza mke wako kuhusu huyo binti. Hata kama huja-date naye hukuwa na haja ya kumueleza mkeo. Kuna mambo mwingine kama mwanaume unatakiwa ukae nayo kifuani.Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari
Akaanza kuniongelesha kwa kuomba simu yangu basi nikasema inshallah bora alivyoanza yeye tukaanza piga story za uongo na ukweli akawa ananinunulia vitu vya hapa na pale
Tumefika muda tukawa kama tumewahi Kutana sehem au ni ndugu na katika ile safari nilikuw naelekea
mimi ni mgeni sijawahi kwenda
ila kwa upande wa yule binti ni mwenyeji basi akawa ananielekeza baadhi ya maeneo maana safari ilichukua kama masaa13 mpaka kufika hiyo sehem
Basi akawa ananielezea maisha yake nilipenda sana jinsi alivyokuwa na tabia ya ucheshi akapelekea nimchukulie kama dada yangu kufikia hapo tamaa zangu za kumtaka kum....zikakata kumbe mwenzangu anahisia tofauti na mm
Basi hadi kufika mwisho wa safari tukaagana vizuri end the day tukawa tunasaidiana akiishiwa kitu na mtumia pesa nikiishiwa ananitumia
So tunaishi hivyo na jana amenicheki anaomba aje kwangu kwa hiyo nimuongezee nauli na ukiangalia mimi nimeoa na sijamwambia kuhusu hilo
Na sijui yeye ananichukulieje maana hatujawahi kuongelea kuhusu mahusiano sasa sijui nimkubalie aje hom kwangu au nifanyeje maana wife nilimueleza kuhusu hilo akasema mwambie aje ila kwa upande wa yule binti ndio sijamjuza chochote ushauri wenu wakuu
Sasa kwako anakuja kufanyaje au kutalii?Mkuu Ndio ishu inayonipa wakati mgumu wadau wengine wanasema nimkodie lodge unaanzaje kumkosoa mtu lodge mtu ambaye hajawahi kuongelea kuhusu mapenzi
MahondaaaMwambie kama umeoa na unaishi na mkeo kwanza!!
Wee ni kiazi kweli hamjawai kuongelea mapenzi unatesaje hisia zake kichw amajiNaogopa kutesa hisia zake maana mawazo hutofautiAna mkuu
Sure mzee jamaaa sijui wa wap ??Watu kama nyie ndiyo mnafanya vijana tuonekanae wa hovyo.