B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Kwahiyo anataka aje kwako kufanyeje?? Sawa hamjaongelea ila wewe mwambie umeoa unaishi na mkeo ndio utajua!
Umeoa lakini hujielewi.Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari
Nimemshangaa. Huyu na mashaka hata kuoa kama kaoa. Small issues kama hiz ni za kupotezeaUmeoa kweli wewe? Hiyo mkeo unamuhendo vp kama ishu ndogo kama hii unaombea ushauri huku jf mbaya zaidi hadi kwa mkeo.
Unamaanisha nisingemwambia wife ningemla kimya kimya sasa mkuu ningetaka kumla ningemla kwao ila nilibadili gia kwenye bus baada ya kuona sio kila mwanamke alie mbele yako umle mbona uzi umejieleza vizuriHili nalo jambo kubwa la kuandalia uzi mkuu?
Kama Mwanaume huelewi ni maamuzi gani ya kuamua mpaka sasa?
Mwanamke umemtamani, akaanza kununulia vitu kwenye Gari na story kibao, mkaanza kusaidiana shida zenu anakutumia pesa na yeye unamtumia, sasahivi anataka kuja kwako unamuambia Mkeo, jomba upo Sawa kweli?
Huyo mwanamke una undugu naye?
Hujui anataka kuja kwako kuja kufanya nini?
Ndoa yako ina muda gani mkuu?
Ila ningekwambia safari yetu iliishia gest ningekuwa nimejielewa?Umeoa lakini hujielewi.
Dah ayaNimemshangaa. Huyu na mashaka hata kuoa kama kaoa. Small issues kama hiz ni za kupotezea
Mahandow kwani unataka kumkosesha Nini?Mwambie kama umeoa na unaishi na mkeo kwanza!!
Umekuwa muwazi kuelezea ukweli kwa upande wako ila kwanini huu ukweli usimueleze na huyo mwanamke aelewe uhalisia?Unamaanisha nisingemwambia wife ningemla kimya kimya sasa mkuu ningetaka kumla ningemla kwao ila nilibadili gia kwenye bus baada ya kuona sio kila mwanamke alie mbele yako umle mbona uzi umejieleza vizuri
Nimemwambia wife kutokana sijaona ubaya ikiwa nimemchukulia kama dada au ndugu mwingine wa kike
Kinachofanya nilete uzi kuomba ushauri ni kwamba sisi binadamu huwaza tofauti unaweza sema na yy ananichukulia hivyo kumbe na yy anawaza kama wana wanavyonilaumu hapo juu hapa ndio nipo kwenye panda njia nisije kusababisha mtafaruku
Inaelekea kila kitu ufanyacho lazima umwambie mkeo.Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari
Mkuu Ndio ishu inayonipa wakati mgumu wadau wengine wanasema nimkodie lodge unaanzaje kumkosoa mtu lodge mtu ambaye hajawahi kuongelea kuhusu mapenziSawa sawa mpeleke kwa mkeo moto ukawake[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] okay nitamlaHii dunia bado kuna mijitu mijinga sana aisee
Our guy ana nice guy sindrome
Haijalishi mtaishia makaburini. Lakin ishu kama hiyo una handle vizur tu. Kulikuwa hakuna haja ya kumwambia mtu.Ila ningekwambia safari yetu iliishia gest ningekuwa nimejielewa?
Kuna usemi ulikuwa unasemaUmeoa kweli wewe? Hiyo mkeo unamuhendo vp kama ishu ndogo kama hii unaombea ushauri huku jf mbaya zaidi hadi kwa mkeo.
Hilo tatizo linaweza kutoa kwenye mchezo na kukuharibia vingi hasa mwanaume mwenye majukumuOur guy ana nice guy sindrome