Wanawake wanataka 50/50 kwenye vitu laini tu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,027
Reaction score
33,003
#PilikaPilika "Wanawake wengi wanataka usawa 50/50 lakini kwa Kwa mfano tukisema wanawake wote waende vitani halafu wanaume wabaki nyumbani, mtakubali nyie??....kwahiyo mnataka usawa kwenye vitu laini lakini kwneye vitu vigumu hamtaki usawa" @dr.mwaka

#PilikaPilika #EastAfricaRadio

Kwenye mambo ya kubeba cargo kariakoo (ndwika) mma hawataki[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sio kutaka , maumbile ya mwanaume kiasili yamejengeka kupambana kwenye vitu vigumu , hivyo ni haki ya wanawake kutaka usawa kwenye vitu laini, mambo ya usawa mwisho wa siku na yeye ataomba popo Kanyea mbingu kwa mkewe na pesa ya uchakavu gademiiit 🚮
 
Vitu laini wabaki navyo wao na vigumu watuachie.Waache kelele hao viti "maarum"!
 
Fifty fifty iwe kwenye vyote

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
VITA inahitaji akili Sana .

Wanawake kiasili hawana uwezo wa kufanya mambo Makubwa yanayohitaji matumizi Makubwa ya akili.
Mimi naona kupigana vita nao ni ukichaa tu , tungewapa wanawake majeshi wachambane kiishe tu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…