Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,557
- 1,995
- Thread starter
- #41
Balaa litamkuta yeyote atakae thubutu kuficha ukweli!.....umemuona kiboko yako Karaba?
ndio nimemuona.
Balaa litamkuta yeyote atakae thubutu kuficha ukweli!.....umemuona kiboko yako Karaba?
hu hu hu! Kubali kataa, vimba pasuka, lakini Wanawake wanapenda kudangwanya!Hao wanawake unao wadanganya na wakakuamini ni wale ambao unafanana nao tabia na makazi, sio wote wanaopenda kudanganywa, kwanza mambo yakugandana kama ruba yalisha pitwa na wakati hata ukikaa mwezini si wewe,mwanamke mwenye shughuli zake mda huyo hana kabisa ana mambo ya muhimu anataka kukamilisha....
swadakta!Kama mimi mwenyewe naendesha mercedes nikimwambia binti nitamnunulia vits ataona mimi muongo? By the way wanawake ni washamba sio kinondoni pekeyake ila sehemu nyingi duniani kwa sababu kwenu uongo ndio mnaona ukweri na ukweri ndio mnaona uongo