Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,557
- 1,995
Unaweza kumwambia ukweli unaishi Mbagala kwa Mtogole, lakini asikuamini hata kidogo... Sasa thubutu kumdanganya unaishi Bahari Beach, uone atavyokuganda kama ruba. Doh Wanawake ni watu wa ajabu sana, sijui kwanini wanapenda kudanganywa?