Ray M
Senior Member
- Sep 23, 2012
- 182
- 61
Tangu umedanganya umefaidika nini??
amefaidika kupata kei
Tangu umedanganya umefaidika nini??
Tangu umedanganya umefaidika nini??
Unaweza kumwambia ukweli unaishi Mbagala kwa Mtogole, lakini asikuamini hata kidogo... Sasa thubutu kumdanganya unaishi Bahari Beach, uone atavyokuganda kama ruba. Doh Wanawake ni watu wa ajabu sana, sijui kwanini wanapenda kudanganywa?
uko mkoa gani labda?
Tangu umedanganya umefaidika nini??
nipo mkoa wa sinza
unamaanisha watoto wa kinondoni ndo washamba hvyo mpaka wafanikiwa kuwadanganya?
Ndio Mkuu nimefanikiwa kutusua.
jamaa yangu alimdanganya mwanamke atamnunuli toyota vits wakati yeye mwenyewe anatembea kwa mguu ,akapewa penzi akapewa apaka tigo .sasa na mimi nimeanza kudanganya nawapata kweli
ha haaa, hili siyo dongo kwa gfsonwin?
kwani mliishiana wapi Kirikou Wa Kwanza?
mwenzio hutaki atoke kwa mfuga mbwa ahamie bahari bichi?
Ni kweli wanapenda sana kudanganywa na ndio maana wanaitwa wanawake.
To women..lies are easily accepted than truth...n vice versa to men..... Wakati nasomea elimu ya utongozaji nilifundishwa hivyoooo....kama huamini jaribu uone.
kama mwanaume mwenyewe ndo hivi maneno kama anapiga mdundiko basi simtaki tena hakawii kumaliza mitaa kisa kukusema.
Kirikou umekuja kwa kasi na utapotea kwa kasi hi hi. Dada wa manzese kwa mfuga mbwa njoo huku shemeji anasema kweri sasa.. Pole kwa ndarichako kukupa stress
jamaa yangu alimdanganya mwanamke atamnunuli toyota vits wakati yeye mwenyewe anatembea kwa mguu ,akapewa penzi akapewa apaka tigo .sasa na mimi nimeanza kudanganya nawapata kweli