Wanawake wanapenda au wanazoea??

Wanawake wanapenda au wanazoea??

Kuzoeana kuna leta kumfahamu mtu kiundani,,,

hakuna kitu kizuri kuingia kwenye mahusiano baada ya urafiki,utasikia I married my best friend,ni kwamba anakujua ulivyo na mapungufu yako na akaona anaweza kuishi na wewe....

ukikubaliwa siku ya kwanza,it means mtu hakujui vizuri...inayopelekea mahusiano yenu kutokua na foundation nzuri,na baadae migogoro utasikia 'I wish I knew,this before'......na wengine wako kimaslahi zaidi
Ndio maana wanakuwaga kama hawasikii...hawaoni...kila ukionesha ulishapotezea wao ndio kwanzaa wanakuonesha makopa kopa.
 
Combo ya colours na setting yes ni romantic
Yaani nikiwa na stress za job nikiingiaga tu room nikawasha na a.c kwa mbaali nasahau mazonge yote ....indeed napapenda ndio maana sipendi kurudi late.
 
Ndio maana wanakuwaga kama hawasikii...hawaoni...kila ukionesha ulishapotezea wao ndio kwanzaa wanakuonesha makopa kopa.

kuwa patient,ukionyesha kupotezea..una poteza watu ambao wangekua muhimu kwako..ogopa mtu unayemtongoza na kukukubali hapo hapo...
 
Ahaa...mna buy time.
Mi nilidhani kupenda sio lazima iwe mda mreefuuu...
Sijui, ila kwangu inachukua mda sana tu.
Naweza kuwa na wewe na sijakupenda bado, ila nikisha kupenda ni hatua nyingine.
 
Ukiwa na mtu bila kumpenda utakuwa unafanyaje vitu vya kiupendo ...unaigiza ukweli ama!?

Hapana, neno kupenda lina maana tofauti.
Naweza kusema I like you ni tofauti na kusema I love you.
Kwa hiyo mwanzoni nitaku Like halafu nitakuja kuku Love, nikishindwa kuku Love, nakupotezea.
Ndio maana naogopa sana watu wanaoambiana I love you ndani wa mda mfupi, maana neno Love halirudishiki nyuma.
Usiniulize kwa Kiswahili tofauti ya LIKE na LOVE ni ipi, siijui
 
kuwa patient,ukionyesha kupotezea..una poteza watu ambao wangekua muhimu kwako..ogopa mtu unayemtongoza na kukukubali hapo hapo...
Nimuogope kwa nini kama hana sifa si nitaona along the road.
Unajua unaweza tongoza/tongozwa na mtu ambaye tayari ulishamkubali.
Sasa kwa nn umzungushe?!
Kikubwa ni kuprove kwa vitendo tu.
 
Mnhhhh hujitambui bye
 
Hapana, neno kupenda lina maana tofauti.
Naweza kusema I like you ni tofauti na kusema I love you.
Kwa hiyo mwanzoni nitaku Like halafu nitakuja kuku Love, nikishindwa kuku Love, nakupotezea.
Ndio maana naogopa sana watu wanaoambiana I love you ndani wa mda mfupi, maana neno Love halirudishiki nyuma.
Usiniulize kwa Kiswahili tofauti ya LIKE na LOVE ni ipi, siijui
Mimi mwenyewe najua tofauti za LIKE na LOVE.
So sikuulizi. Ila kama utachukua mda mrefu ku like ina maana matendo ya ku LOVE utayanyaje?! Utajilazimisha?! Ni hapo shida inapokuja.!!
 
Ku like huwezi kuchukua muda,(kuvutiwa na mtu hakuhitaji mda sio?) Muda kwangu ni kwenye ku Love
Niki kulike nakuchukulia kama mshikaji tunakuwa tuna wasiliana kama marafiki tu.
Nikishaku Love hapo nakuwa kama nimekumilikisha nafsi yangu nasiwezi kufanya vitu bila kufikiria impact nitakayokupa, ndio maana inachukua mda, mtu anakuwa ameshaubalina na yale yote uliyonayo, pamoja na mapungufu
 
Hicho kitanda kinaonesha kuwa anayekilalia na kukitunza lazima awe mnyanyasaji na mbishoo sna. Unaweza ambiwa uvulie nguo barabarani. Ndo maana wanakukimbia kwanza ila wakiona kumbe hata nanii umemtongoza wanashangaa tu
 
Oh...nimekupata pwenti yako.
 
Hicho kitanda kinaonesha kuwa anayekilalia na kukitunza lazima awe mnyanyasaji na mbishoo sna. Unaweza ambiwa uvulie nguo barabarani. Ndo maana wanakukimbia kwanza ila wakiona kumbe hata nanii umemtongoza wanashangaa tu
Hahah....mangatara sasa huo uchokozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom