Wanawake wanapenda au wanazoea??

Wanawake wanapenda au wanazoea??

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
972
Salaam wakuu!
Kwa muda sasa nimekuwa najiuliza swali hili,
"WANAWAKE WANAPENDA AU WANAZOEA??"
Katika harakati zangu za kimahusiano kwa kipindi tofauti tofauti nimekuwa nakutana na warembo.
(Kama watano {5} hivi maximum).
Nilikuwa nikimtongoza mrembo anakataa awali lakini mimi simuwekei kavu naendelea kumsalimia na kumjulia hali kiujumla (maana huwa tupo eneo / mtaa mmoja kimakazi).
Sasa baada ya muda wanakuwa wadadisi kujua lifestyle yangu na pindi wanapojua wanaongeza ukaribu. (Sio kwamba nina pesa au sharobaro, HAPANA). Nina maisha simple tu.
Huo ukaribu unazidi mpaka jina linabadilishwa yanaanza (my...dear...best...e.t.c)
Kwa vile mimi najua kwamba nilishakataliwa kimahusiano, huwa sina harakati za kimahusiano nao.
Kuna kipindi hufika wanaanza kutumia indirect message (kunijulisha kuwa wananitaka).
Baadae inakuwa kama too much nikiwa sijali.
"HAPO NDIO NAJIULIZA KWA NINI AWALI ALIKATAA, SASA HIVI ANANITAKA?!"
huyu amependa au ni kuzoea???
Nielewesheni wakuu wa jukwaa.
FB_IMG_1557509674015.jpeg
 
Ni vizuri kuzoeana kwanza ndio mapenzi yanapochepukia.
Siwezi kusema nakupenda ndani ya siku au wiki hata miezi.
Kwahiyo jibu ni kuwa tunapenda taratibu na kulingana na kile tunachokiona kutoka kwa muhusika, na sio kama tunashobokea aina flani ya maisha tunayo wakuta mnayo
 
Ni vizuri kuzoeana kwanza ndio mapenzi yanapochepukia.
Siwezi kusema nakupenda ndani ya siku au wiki hata miezi.
Kwahiyo jibu ni kuwa tunapenda taratibu na kulingana na kile tunachokiona kutoka kwa muhusika, na sio kama tunashobokea aina flani ya maisha tunayo wakuta mnayo
Ahaa...mna buy time.
Mi nilidhani kupenda sio lazima iwe mda mreefuuu...
 
Kuzoeana kuna leta kumfahamu mtu kiundani,,,

hakuna kitu kizuri kuingia kwenye mahusiano baada ya urafiki,utasikia I married my best friend,ni kwamba anakujua ulivyo na mapungufu yako na akaona anaweza kuishi na wewe....

ukikubaliwa siku ya kwanza,it means mtu hakujui vizuri...inayopelekea mahusiano yenu kutokua na foundation nzuri,na baadae migogoro utasikia 'I wish I knew,this before'......na wengine wako kimaslahi zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom