Wanawake wanapata wapi ujasiri wa kutongoza?

Wanawake wanapata wapi ujasiri wa kutongoza?

Sio rahisi mwanamke kutongoza mwanaume aisee. Kina demiss wanatania tuu. Blv me.
 
Raha mwanaume utongoze bwana,mtoto alambe lips kidogo,achimbe chimbe chini,Mara sitakii ila ntakufikiria,jibu lako ntakupa kesho ila umenivutia
 
Wakuu habari zenu
Inakuwaje baadh ya wanawake wanatongoza wanaume?

Ujasiri wa namna hiyo wanapata wapi?
Ujasiri unauzwa Kariakoo sokoni,
Mtaa wa Aggrey,
Ukifika pale ulizia ujasiri shop,wanapima kwa kilo
 
Kwan wanawake hawana moyo jmn!!!mi nikimuelewa m2 namwambia ila 2 wanawah kunielewa ndo maana nashindw kufunguka
 
Wakuu habari zenu
Inakuwaje baadh ya wanawake wanatongoza wanaume?

Ujasiri wa namna hiyo wanapata wapi?
Wanawake nao wanapenda acha mambo yako ya kizamani hakuna kitu napenda kama demu kunitongoza
 
Wakuu habari zenu
Inakuwaje baadh ya wanawake wanatongoza wanaume?

Ujasiri wa namna hiyo wanapata wapi?

Wacha huo ujinga kijana.....kwani mwanamke kutongoza mwanamme ni dhambi? Hakuna kiumbe asiyetaka kuishi na mwenza.
 
Wakuu habari zenu
Inakuwaje baadh ya wanawake wanatongoza wanaume?

Ujasiri wa namna hiyo wanapata wapi?
Ujasiri wao unatokana na Savannah, K-Vant, Safari, Konyagi G Bapa,na Kuwa Nyuma ya Mtandao, Mwanamke hawezi kukutongoza hadharai yaani ana kwa ana ila atakutongoza kwa kutumia whatsapp na ataanza kukusifia huku akikutumia ma video ya ngono ...... Mimi nimeshatongozwa sana
 
Awe makini na viben10 vifua vyao vidogoooo, au sio
 
Ujasiri wao unatokana na Savannah, K-Vant, Safari, Konyagi G Bapa,na Kuwa Nyuma ya Mtandao, Mwanamke hawezi kukutongoza hadharai yaani ana kwa ana ila atakutongoza kwa kutumia whatsapp na ataanza kukusifia huku akikutumia ma video ya ngono ...... Mimi nimeshatongozwa sana
Nitakuja malaika ninyweee savana nione kama nitakutongozaaaaa
 
Nitakuja malaika ninyweee savana nione kama nitakutongozaaaaa
Tatizo wewe hueleweki ... Ukiwa JF unasema upo Malaika ila ukiwa Dodoma husemi.. Pia siku hizi Malaika imepoteza hadhi ya Mimi kwenda kuna Malaya wengi pale wanaoijuza kwa hiyo Mtu ukienda pale huchelewi kumlikwa kuwa umefuata Malaya.. Wanawake wanajipanga huku kwenye Magari ukitoka tu unakuta Wanakufuata kukuuzia... Sasa huwa tunakwepa hiyo aibu... Nitafute PM
 
Back
Top Bottom