wanawake wa mkoani au wa daisalamaWakuu habari zenu
Inakuwaje baadh ya wanawake wanatongoza wanaume?
Ujasiri wa namna hiyo wanapata wapi?

,duh Lidada hilo linamwaga seraaaa 

Usisahau mrejeshoNgj nije pm nikutongozeee
mie ndio sina bahati hiiNgj nije pm nikutongozeee
AhhahahahKwahiyo = Kaka hebu simama nataka kuongea na wewe,unaitwa nani?unakaa wapi?kilasiku nakuona ukipita huwa moyo wangu unatamani japo nipate muda wakuongea nawe,sasa naweza baadae nikapata muda wa kukaa nawe sahemu tulivu japo tuongee mawili matatu,duh Lidada hilo linamwaga seraaaa
![]()
Imerudiwa tena ili ieleweke.hii mada si ilishazungumzwa humu?
Huko