Wanawake wanaowatumia wanaume kingono

Takwimu inaonyesha,

Nchi tano bora afrika zinazo ongoza kwa watu wake kushiriki ngono kwa idadi kubwa.

1. Senegal

2. Nigeria

3. South Africa

4. Tanzania

5. Ethiopia
 
Ukiona hivyo ujue hujamfikisha. Usijichoshe bure kujitafiti zaidi.
Wapo akina mama wenye pesa zao na maisha matamu katika idara nyingine, lakini wanatamani kupata kitu extra, a good orgasm. If you don't deliver that then you are ditched outright, and she doesn't owe you an explanation.
 
Hahahahhaha hivi kumbe na nyinyi mnaumiaga eeee ...... eti kabisa unalalamika “she used u” hahhaha poleni saana !!!! Sijui kwanin nafurahig saana kuona hivi viumbe vinaumia[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Wapo wengi.

No vizinga

Only good sex.

Siku akimiss good sex, anakutafuta tena.
Ukiwa provider mzuri wa sex, huwezi kuwa na demu mmoja kamwe.

They come again and again. Hatimaye unakuwa mtumwa wa ngono.(Mapenzi )
 
Mi kuna tulikubaliana tudaidiane tu.....free......tukasuuzana kila mtu akaendelea na maisha yake fresh fresh. Washkaji
 
Mama Sabrina ya kale ni Dhahabu. .....ebu tukajaribu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…