Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Huo muda hatuna sisi sio walimu wa mapenzi tunataka mapenzi.pia SAA zingine moyo tu unamkataa mtu MkuuIla unatakiwa walau kumfanya mhusika ajue kuwa anatakiwa kuongeza ujuzi kupotea kimya mnaishia kuwapa watu msongo wa mawazo
Can we countinue?Zamani nilifanya haka kamchezo aisee
Ndo wazuri hao mkuu ... Unapata hamasa mda wote.Kuna mmoja alikuwa mtoto wa mkuu wa wilaya flani hivi bongo!asee alikuwa anapenda kutiwa sijapata kuona.akakutana na mi dudu mshedede kila siku anakuja maskani akishakusalimia anakwambia utanikuta ndani.ukiingia yeye ashachojoa ameitenga tuu!kila siku mtifuano ikafikia akija hakuna hata kuamsha mzuka unachomeka tuuu na kupiga bampa to bampa.aahh kuna madem siku 2 akikosa anaugua
Daaaaah umenikumbusha mwaka 2016 ..Wanawake wanapashanaga habari, Yule kaka ana li mdodoki la haja, ukididimiza mmoja utadidimiza rafiki zake wote. Utajiona bonge la mjanja kumbe umetumika kama chombo cha kuwastarehesha
Zamani nilifanya haka kamchezo aisee
MmmhDaaaaah umenikumbusha mwaka 2016 ..
Huenda Mchaga yule alikua waivo maana nikajikuta nakula,yeye ,dada watumbo moja ,nadada asokua watumbo.
Dhambi hii Najua nilishasamehewa ,ila niseme ile kitu iLiwafanya waende kupanga nawaendelee navyuo.
Hawa dada wawili, walizidi kuniuliza sana maswali, ,kipi namfanyia mdogo wao kiasi cha yeye kila mara kunitaja jina langu na kuwapa habar zangu wao ,sasa kutaka kujua kilichomo ,ikatokea ilivyotokea, nawalivyojuana. Ikawa ugonv mpaka wazazi wao wakawaamua kila mmoja akapange.
mpaka leo sina mawasiliano nao.
Vipi Miss? .Mmmh
Kuna mtu kakuhack ama?Vipi Miss? .
Zamani nilifanya haka kamchezo aisee
Mi hata akinidatisha mno hyo hali hunitokea tu cjui kwaniniWala sio uplayer tatizo hukunidatisha.
Si nakupotezea tu. Kila ukinichek niko busy. Utajiongeza tu.
Yuko mlangoni anagonga.Makonda anakutafuta!
100% true aisee, yaani hutamani hata kuonana nae tenakuna mwanaume hafai kurudia .mtusamehe tu bure
Huyu ni mimi kabisayaani ukitoka hapo na namba unablock mazima.ila kuna watu jamani yaani acha tu
AhahaaaHuyu ni mimi kabisa
Ndo maana sipendi kujiforce kwa mtu.maana nitamuachia manyoya100% true aisee, yaani hutamani hata kuonana nae tena
Nyinyi ndo hamna maana kabisa kwenye sekta hiyo ya kupotea kimya bila taarifa. So ukifanyiwa hvyo kuwa mpole tuIla unatakiwa walau kumfanya mhusika ajue kuwa anatakiwa kuongeza ujuzi kupotea kimya mnaishia kuwapa watu msongo wa mawazo