Wanawake wanaowatumia wanaume kingono

Wanawake wanaowatumia wanaume kingono

Mkuu umerusha jiwe kwenye giza limenipata mimi huku, nimesha kutana na mdada wa aina hii hakika naweza sema hakuwa mbaya mambo yote, ila tu ndio hivyo alikuwa hadi atake yeye mchezo ndio ananishtua, siku nikishtua mimi anaishia kusema yupo busy tu, baadae nilipoelewa mchezo nikaamua na mimi kumkaushia tu kwani niliona ni ujinga huu
 
Wapo baadhi ya ke pia, nakereka sanaaaaaaaaaaaaaa mwonekano safii matendo zero ha! Mnachosha bhana
 
Shkamoo baba mzazi kweli ukubwa dawa
Wanawake wanapashanaga habari, Yule kaka ana li mdodoki la haja, ukididimiza mmoja utadidimiza rafiki zake wote. Utajiona bonge la mjanja kumbe umetumika kama chombo cha kuwastarehesha
wewe nawe mbea .ungemuacha jamaa yako ajione kidume mjini kumbe ni sex toy tu
 
Back
Top Bottom