Loooh mie kimbaumbau nisivae dera sasa maana duuh huu uzi wakusifia neema za allah tu
Dira halimtupi mtu maana hata sie vimbau mbau tunapendeza
Kama hutojali nisaidie na hitaji langu hapo.....
Ngozi ya huyu mtu haina rutuba wala ushirikiano wa kitaifa....
Ngozi ya huyu mtu haina rutuba wala ushirikiano wa kitaifa....
Bestiiiii!!!!!!Neema za Allah zinajimwaga barabara ndani ya Dera
Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na wanawake wanaovaa madira kuliko hawa wanaovaa visuruali vya kubana au visketi vifupi.
Mwanamke na hasa umkute ana shepu halafu akuvalie dira, wallahi huwa nahamasika, yaani huwa wananivutia sana.
Mimi la aziz wangu alikuwa hapendelei kuvaa madira licha ya kuwa nilimshauri mara kadhaa ila baada ya kugundua kwamba kila nikiona mwanamke kavaa dira huwa nasifia kuwa kapendeza na kuvutia huku shingo yangu ikiwa haitulii ili kuzisindikiza 'neema za allah' kwa macho, la azizi wangu naona akabadili msimamo akaanza kununua na kuvaa madira na kuna siku nikatoka nae nikampiga na shopping ya madira kadhaa, na hivi sasa siamini macho yangu ndio imekuwa pigo zake.
Na namshukuru mola habibi wangu kaumbika na huko 'uani' mashaallah basi huwa naburudika na kujiona kidume rijali kila akipita mbele yangu akiwa ndani ya dira.
Bestiiiii!!!!!!
Kumbe Neema za Allah zipo. Lol!
Hahaaaa!!!
Bestiiiiii!!!!
Neema zipo kwa wote ila inategemea ni neema kubwa kubwa au ndogo ndogo.
Heaven on Earth ladyfurahia hebu njooni huku mtoe ushuhuda.
ladyfurahia furahia anaweza maana anasema anakaa mbagala.
Nimechekajeelabda kama itakuwa oversize, lakini kama ina kufit sawasawa hata kama una neema ndogo ya allah itaonekana tu! Unajua mwenyezi mungu ana maana yake kugawa neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo maana ameumba pia mashabiki wa neema zote hizo!!