mawazobinafsi
Member
- Aug 15, 2014
- 44
- 14
sisi ambao neema ya allah katuwekea kidogo kwa kweli tuendelee kujibana na visuruali ili ile neema ionekane.... .. wengine tukivaa madera tunakuwa kama tumetundika nguo kwenye hanger
Wengine Sisi washabiki wa Neema ndogondogo maana kubwakubwa uvivu mwingi
Hahahahahahahahahahaha, tungejaliwa wote nani angemuheshimu mwenzie.
kweli tuendelee kuva vigauni vyetu na sisi waone uumbaji mtoto mguu utafikir niliongea na mungu ahaaaa wa madila wanaficha vumiguu kama sindano
miss chagga si unitonye hiyo mikochi ni ya?
Hebu ntoe ushamba!
hapana vaa dira linalokufit sio oversize!
Khaa we naye majungu miguu Twaificha na suruali
weng wanaovaa madila ndan huwa wamevaa nguo za ajabuajabu. Zmechanika au chafuchafu.
Watu wengine achana nao, akimjua tuu, anamuita kimoyo moyo, wewe hata msibani utaagwa!, usifanye masikhara!.
Pasco