Wanawake wanaovaa madira

Wanawake wanaovaa madira

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,523
Reaction score
655
Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na wanawake wanaovaa madira kuliko hawa wanaovaa visuruali vya kubana au visketi vifupi.

Mwanamke na hasa umkute ana shepu halafu akuvalie dira, wallahi huwa nahamasika, yaani huwa wananivutia sana.

Mimi la aziz wangu alikuwa hapendelei kuvaa madira licha ya kuwa nilimshauri mara kadhaa ila baada ya kugundua kwamba kila nikiona mwanamke kavaa dira huwa nasifia kuwa kapendeza na kuvutia huku shingo yangu ikiwa haitulii ili kuzisindikiza 'neema za allah' kwa macho, la azizi wangu naona akabadili msimamo akaanza kununua na kuvaa madira na kuna siku nikatoka nae nikampiga na shopping ya madira kadhaa, na hivi sasa siamini macho yangu ndio imekuwa pigo zake.

Na namshukuru mola habibi wangu kaumbika na huko 'uani' mashaallah basi huwa naburudika na kujiona kidume rijali kila akipita mbele yangu akiwa ndani ya dira.
 
Baadhi wanapenda kuvaa visuruali na vimini lakini wamejaliwa na Muumba wetu na wamechoshwa na wahuni mitaani kila wapitapo kupigiwa miruzi, na sauti nyingine za ajabu ajabu hivyo wameamua kuvaa hivyo ili kuficha kile ambacho walichokibeba.

 
Last edited by a moderator:
Swadakta mkuu mzigo ukikaa kwa dira machoni una sisimu haswaa zigo liwe na shepu ya kibantu kama ni rijali lazima ifyatuke!
 
Baadhi wanapenda kuvaa visuruali na vimini lakini wamejaliwa na Muumba wetu na wamechoshwa na wahuni mitaani kila wapitapo kupigiwa miruzi, na sauti nyingine za ajabu ajabu hivyo wameamua kuvaa hivyo ili kuficha kile ambacho walichokibeba.



ndugu yangu kuna wengine kwa jinsi walivyojaaliwa hata wakivaa madira mizigo waliyobeba haifichiki
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
weng wanaovaa madila ndan huwa wamevaa nguo za ajabuajabu. Zmechanika au chafuchafu.
 
Mimi hununa,ingawa hainihusu,nikiona ameichomeka kwenye nguo ya ndani.

Mimi huwa ndio naburudika zaidi pale nionapo wife yupo kwenye pilikapilika zake za ndani halafu akiwa kaichomekea kwenye nguo ya ndani! Lakini sio kwa mke wangu tu, hata nikiona kwa dem mwingine napo huwa nasuuzika roho!!
 
sisi ambao neema ya allah katuwekea kidogo kwa kweli tuendelee kujibana na visuruali ili ile neema ionekane.... .. wengine tukivaa madera tunakuwa kama tumetundika nguo kwenye hanger
 
"Neema za Allah"

Hii clipnikikumbuka huwa nacheka sana hasa pale shehe alipsma hapendi wanawake wembama "LABDA ITOKEE TU"" ha hahahah ha


Miss Songea siyo!?
 
weng wanaovaa madila ndan huwa wamevaa nguo za ajabuajabu. Zmechanika au chafuchafu.

avatar182908_1.gif
 
Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na habibi wangu kaumbika huko 'uani' mashaallah basi huwa naburudika
Mkuu Chuma Chakavu, vitu vingine ni vya machoni na kuishia moyoni, sio vya kuvitoa nje na kuanza kujisifia kuhusu huyo habibi wako kwa jinsi
kaumbika huko 'uani' mashaallah basi huwa naburudika
!,
hala hala usijeturudia humu unalia lia na kulalamika kumhusu huyo habibi wako!, kuna wengine watu, wasisikie, wakihamasika tuu, ujue inakula kwako!.

Endelea!.

Pasco
 
sisi ambao neema ya allah katuwekea kidogo kwa kweli tuendelee kujibana na visuruali ili ile neema ionekane.... .. wengine tukivaa madera tunakuwa kama tumetundika nguo kwenye hega

My dear aaaaaaahhhhhhaaaaa Jamani acha kuniua kwa kucheka mwenzio , aaaaaaahhhhaaaaa, Mummy inabidi nikutafute nikirudi Bongo please, aaaaaaaahhhhaaa . Thanks !
 
sisi ambao neema ya Allah katuwekea kidogo kwa kweli tuendelee kujibana na visuruali ili ile neema ionekane.... .. wengine tukivaa madera tunakuwa kama tumetundika nguo kwenye hega

labda kama itakuwa oversize, lakini kama ina kufit sawasawa hata kama una neema ndogo ya allah itaonekana tu! Unajua mwenyezi mungu ana maana yake kugawa neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo maana ameumba pia mashabiki wa neema zote hizo!!
 
Back
Top Bottom