wanawake wanaotumia mkono wa kushoto

wanawake wanaotumia mkono wa kushoto

Hivi maoni haya yamefanyiwa uchunguzi wapi? kwa left handed women/ girls wangapi? wa makabila,umri, mataifa gani?
 
Ni wanawake wenye msimamo sana, ni ngumu kumshawishi na kumbadilisha mawazo akishaweka maamuz yake.

mfano, kama unamtongoza na akakwambia NO! hapo usiendelee kufatilia coz utaongea had mate yakukauke na hutapata kitu.

Nani kakudanganya? Wakati wanakuaga "maharage ya Mwanjelwa!"
 
Back
Top Bottom