Wanawake wanaosumbua sana huwa ni wa hovyo . . . . !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wanaosumbua sana huwa ni wa hovyo . . . . !!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Sep 5, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Hiki ki-jikauli nimekua nikikisikia muda sasa,lakini pia nimejaribu kukifanyia kajiutafiti nimegundua ukweli mkubwa.Ukweli wenyewe ni kuwa wanawake wengi(sio wote) wanaowasumbua wanaume kukutana nao kimwili wengi huwa hawako "poa" ikulu!Na wanapowasumbu sana wanaume ni kwa sababu "wanajistukia" kuharibu uhusiano pale ambapo mwanaume hataridhika na "mazingira ya ndani ya ikulu".Ni jana tu ilitokea mpya,kuna dogo mmoja alikuwa alalama kuwa binti mmoja anamsumbua,lakini huyo binti aliamua "yaishe" ndipo dogo akawa analalama ukubwa na maji mengi kwenye "utukufu" wa binti yule.Hebu wenye uzoefu mniongeze alama kwenye ka utafiti kangu haka!Fungukeni . . . . . !!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  . . . . . . . . . Ntarudi
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Umevunja mbavu zangu BT!!
   
 4. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  subiri wenye mambo yao watakuja....
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  haina formula
  unaweza kukuta msumbufu na mtamu
  easy na mtamu
  msumbufu na ovyo
  easy na ovyo

  hakuna formula.......watu hufanana but hawako sawa

  kufanana maana yake sio sawa lakini kuna karibiana
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mhhhhhh!
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  I see!! kumbe tunachambuliwaga sana wanawake, siyo wote ofcourse!!
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Ujue kitumbua mama mkaangaji akikichelewesha sana, inawezekana ukikingojea sana unaongeza expectations.

  Sasa ukikikuta hata cha kawaida tu utakapopewa, kinakuwa so far below your expectations mpaka unakiona hakifai.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sijaelewa kabisa, hapa napatafutia phd.

  Usumbufu vs uswit???
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Wewe haumo?Au unaogopa kuchafua hali ya hewa?
   
 11. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hii kitu haina kiwango.

  kuna kitu unaweza fikiri ni mtera, ila akija mwenzio anadai ni kama gundi,

  ngumu kujaji
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Funguka mkuu usigune bana!
   
 13. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  duuuuh!!!!!! hayangoja wanaosumbulliwa watoe majibu!!
   
 14. L

  Loloo JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Akikupa day one malaya akikuzungusha ana maji kweli kina mama kazi tunayo.napita tuu sina hoja
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Yes!Sio wote ila wengi wana matatizo haya!
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Binafsi siwezi muita malaya mwanamke atakaenipa fasta au siku ya kwanza,lakini pia kuzungusha hakumaanish maji kwa kila anaezungusha ila asilimia kubwa kuna uhusiano kati ya ubovu wa "utukufu" na kuzungusha!
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Wewe hausumbui. . . . . . !!
   
 18. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahahhahhah!!! mi sio msumbufu!!!
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Wewe hausumbui. . . . . . !!
   
 20. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Eiyer mi naunga mkono mada. wasichana wengi wasumbufu hawako sawa. mara nyingi akikupa unakuta it was not worth it fighting fot.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...