Au kama glans ndani ya govi.
Ila kiukweli hawa wanawake mimi napenda michango yao..nikisoma najisikia raha sana...kuna wakati hadi natamani kuwatafuta...kumbe kuna wengine hawapendi maandishi yao!
Tuendelee kuheshimiana tu maana kila moja ana akili zake na hatuwezi kuwa na mitazamo sawa.