Wanawake wanaongoza kwa kuwa na plan B katika mahusiano

Wanawake wanaongoza kwa kuwa na plan B katika mahusiano

Huu utafiti sikubaliani nao, wanawake wanakuwa na mpango kando kwa sababu unakuta mtu ana mwanaume mwenye gubu ila pesa ipo hapo anatafuta wakufuta gubu nje. au hana gubu na anaupendo ila pesa hana hapo inatafutwa pesa nje.

Naomba usiniquote .
 
Msaada: King`amuzi cha DSTV mlioko Arusha

Wanajamii habarini za jioni.
Nimefika leo Arusha, nikitokea Dar es salaam. Tatizo linalojitokeza ni kwa hii nyumba niliyofikia kwa huyu ndugu yangu anatumia king`amuzi cha DSTV tulipojaribu kuweka local channels ikiwemo ITV, TBC, na STAR TV ili tupate habari zilizojiri kwa siku ya leo, tunapata tatizo la channels husika kutoonekana vizuri "Scratching" tunaomba msaada wadau ili tuondokane na tatizo hili...Je tatizo hili lipo kwa wana Arusha wote au ni sisi tu?

Nawasilisha
 
Asprin
Mamaa sio mimi nimesema ni Evelyn Salt mimi nikatilia mkazo tu aliyoyasema.
Tafadhali my darling naomba uinuke sasa hivi, sitaki kukukosa katika ulimwengu huu na mimba hii mimi.
Acha kupanic kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kama mimi tena?....duh! Aiseeee!
Jitahidini mvitulize, Mwenyezi Mungu kakulinda mpaka hapo na maradhi na majanga mengi sana usitegemee ataendelea kuwa upande wako daily.

Hahaaa mkuu unaruka ...... Unajuaje labda nshakuwa na maradhi yalokomaa je
 
Hapa nakumbuka mane no ya mdau...Alisema hivi...Hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe
 
Nusu ya wanawake huwa na mpango mbadala ama wa kando ambao wanaweza kukimbilia iwapo uhusiano wao utaharibika.Utafiti uliofanywa miongoni mwa wanawake 1000 uligundua kuwa asilimia kubwa imeweza kuwaweka wanaume mbadala pindi tu uhusiano walionao unapoharibika.

Cha kushangaza ni kwamba wanawake waliomo katika ndoa huwa na mpango mbadala ikilinganishwa na wale walio katika uhusiano wa kawaida.Pia imebainika kuwa mpango huo wa kando huenda akawa rafiki wa zamani ambaye amekuwa akimpenda mwanamke huyo.

Wengine huwa wapenzi wa zamani ama hata mume waliyeachana naye,rafiki ama mtu ambaye walikutana katika eneo la mazoezi.Utafiti huo ulifanywa na kampuni ya utafiti wa mtandaoni wa Onepoll.

Je, unakubaliana na utafiti huu

Chanzo: Utafiti:Wanawake huwa na mpango m'badala - BBC Swahili
Every woman in today's world needs a plan B
 
maudhi ndani ya ndoa, na
unyanyasaji wa wanaume ndani ya ndoa
wanaume kujifanya makaudhu ndani ya ndoa
ndio hupelekea mtu kuharibu ndoa yake kwa
mikono yake miwiili kwani nini Mungu aliweka
mpango wa ndoa ni ili kufurahishana, kupendana
na kujaliana sasa MIJANAUME MIKAUDHU ndo
chanzo kikubwa cha ndoa kuharibika IMEZIDI
TAMAA NA NI MIBABE UTAFIKIRI WAKO KAMA HILTRA
 
Na ngoja ifike kilele cha siku ya wanawake duniani nitaweka dongo kwa wanaume
mpaka watajua kuwa mwalimu wa wanawake ameingia langoni nimewanyamazia sana
nyie
 
Asprin
Mamaa sio mimi nimesema ni Evelyn Salt mimi nikatilia mkazo tu aliyoyasema.
Tafadhali my darling naomba uinuke sasa hivi, sitaki kukukosa katika ulimwengu huu na mimba hii mimi.
Acha kupanic kabisa.

Roho imeniuma sana.
 
Last edited by a moderator:
unajiskiaje mpenzi wako unagundua kwake we ni plan b hahah
 
Back
Top Bottom