Wanawake wanaoishi Sinza wana shida gani?

Acha wajenge uchumi nchi wa kati maana mitaji walipewa na Mungu ata kutumia nako kuwe shida.

Pisi za buza, kinondoni, tabata, sinza, temeke, chapeni kazi nchi yetu inaenda pazuri msitishwe na maneno ya mabeberu.
Kiru πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ waendelee ku-PAMBANA sio?!
 
Kokote kule lakini si Sinza. Juzi mkurugenzi mmoja wa idara ya serikali na dereva wake walikuwa na kiu, wake zao wamewaacha Dodoma. Wakasema twende Sinza mara wakarudi na vimada.
Na wewe ndio dereva WA mkurugenzi sio?!
 
prove ❌ ❌

proof βœ…βœ…
I meant what I wrote man
Hana prove, meaning a prove IT basi, i.e proooove it, Nimeongea Kiswahili na kiiingereza at the same time, swanglish ndio nimekumaliza maskiniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
  • Kicheko
Reactions: mij
sinza hakuna wanamke pale simamisha demu pale kama pochi nene unakula muda huo huo,siku moja niko j bar kaja demu mmoja anapush crown amekaa meza moja na mm mchana kwenye saa nane akajaoin meza yangu story za hapa na pale nikamzungushia gambe kadhaa mara sina ela ya wese nikala mzigo na ni mfanyakazi wa kampuni flani ya simu ila wanawake wa sinza asilimia 90 wanauza papuchi ela yako tuu wengi wanapenda kula bata board room pale
YeleuuuwiπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Board room eneo la matukio pale Sinza
 
Mkuu labda alikupenda akaamua ule tunda kimasihara?
 
Jamaa yangu anaishi Msakuzi alipata demu sinza,amepanga chumba masta. Siku moja anaenda kwa demu wake akapokelewa vizuri tu akakaribishwa ndani. Baada ya muda kidogo akaingia jamaa ...anafahamiana na dem ni swahiba wake. Mara kidogo, dem akamuomba jamaa watoke nje kidogo yule jamaa anataka kuoga ....

Wakatoka. Mshkaji kapigwa butwaa haelewi elewi. Baada ya dakika kadhaa jamaa kamaliza kuoga akapiga simu warudi tu ndani. Wakaingia. Wakakuta jamaa keshaoga amevaa anamalizia kujipodoa kageukia dressing table. Jamaa akakaa kitandani na dem wake....wanaendeleza stori yao.

Jamaa kashika wanja na chanuo mkono mwingine kamgeukia jamaa anamuomba radhi kwa usumbufu "shem samahani kwa usumbufu..." jamaa kabaki katoa macho, anashangaa mwanaume kashika wanja. Kamaliza kupaka, kaondoka.

Badae demu kamuomba radhi mshkaji na anamwambia isimsumbue yule sio bwana wake....kwanza ni "shoga" tu. Alikua anaishi na Bwana wake Mwananyamala wamekorofisha; anaishi kwa muda pale na demu wa mshikaji.

Mambo ya Sinza.
 
Back
Top Bottom