Wanawake wanaoishi Sinza wana shida gani?

Maisha yenyewe sinza ni ya anasa sana, pombe full time wanasema ndani ni joto hivyo wanashinda vijiwe vya pombe muda mwingi.

Hakuna mwanamke au mwanaume wa mtu mmoja sinza.
We unaishi sinza?!
 
Mume wangu na sinza vinaendaje sasa?!
Huna prove bwana wapishe wenye prove zao
Nilisema "mbunye za sinza zimechakatwa sana" ukauliza "zimechakatwa na nani?" nikakwambia "naogopa kuweka orodha ya wachakataji usije kuta na jina la mumeo lipo kwenye orodha"
Nakushangaa unapouliza swali eti mumeo na sinza vinaendanaje!!!
 
Jamaa yangu anaishi Msakuzi alipata demu sinza,amepanga chumba masta. Siku moja anaenda kwa demu wake akapokelewa vizuri tu akakaribishwa ndani. Baada ya muda kidogo akaingia jamaa ...anafahamiana na dem ni swahiba wake. Mara kidogo, dem akamuomba jamaa watoke nje kidogo yule jamaa anataka kuoga ....

Wakatoka. Mshkaji kapigwa butwaa haelewi elewi. Baada ya dakika kadhaa jamaa kamaliza kuoga akapiga simu warudi tu ndani. Wakaingia. Wakakuta jamaa keshaoga amevaa anamalizia kujipodoa kageukia dressing table. Jamaa akakaa kitandani na dem wake....wanaendeleza stori yao.

Jamaa kashika wanja na chanuo mkono mwingine kamgeukia jamaa anamuomba radhi kwa usumbufu "shem samahani kwa usumbufu..." jamaa kabaki katoa macho, anashangaa mwanaume kashika wanja. Kamaliza kupaka, kaondoka.

Badae demu kamuomba radhi mshkaji na anamwambia isimsumbue yule sio bwana wake....kwanza ni "shoga" tu. Alikua anaishi na Bwana wake Mwananyamala wamekorofisha; anaishi kwa muda pale na demu wa mshikaji.

Mambo ya Sinza.
Kwa akili zangu za haraka nikisikisia story za mapenzi kuhusu Sinza naona ni kama issue ya biashara tu kama biashara zingine
 
Wanawake na wanaume waishio maeneo haya
Sinza
Temeke Sudan(yote mbagala na buza)
Mwananyamala
Kinondoni
Tandale
Tabata

Watu hawa hawajawahi kupeana credit ingawa ndio hao hao yaani wanazungukana tu.

Bora hata wanaume hujisifu kama wanaishi buza ila si wanawake
 
Mademu wa sinza ni shida sana ngoja nipambane na wa mbagala huku kwetu uswailini
 
Jamaa yangu anaishi Msakuzi alipata demu sinza,amepanga chumba masta. Siku moja anaenda kwa demu wake akapokelewa vizuri tu akakaribishwa ndani. Baada ya muda kidogo akaingia jamaa ...anafahamiana na dem ni swahiba wake. Mara kidogo, dem akamuomba jamaa watoke nje kidogo yule jamaa anataka kuoga ....

Wakatoka. Mshkaji kapigwa butwaa haelewi elewi. Baada ya dakika kadhaa jamaa kamaliza kuoga akapiga simu warudi tu ndani. Wakaingia. Wakakuta jamaa keshaoga amevaa anamalizia kujipodoa kageukia dressing table. Jamaa akakaa kitandani na dem wake....wanaendeleza stori yao.

Jamaa kashika wanja na chanuo mkono mwingine kamgeukia jamaa anamuomba radhi kwa usumbufu "shem samahani kwa usumbufu..." jamaa kabaki katoa macho, anashangaa mwanaume kashika wanja. Kamaliza kupaka, kaondoka.

Badae demu kamuomba radhi mshkaji na anamwambia isimsumbue yule sio bwana wake....kwanza ni "shoga" tu. Alikua anaishi na Bwana wake Mwananyamala wamekorofisha; anaishi kwa muda pale na demu wa mshikaji.

Mambo ya Sinza.
Hiii[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nilisema "mbunye za sinza zimechakatwa sana" ukauliza "zimechakatwa na nani?" nikakwambia "naogopa kuweka orodha ya wachakataji usije kuta na jina la mumeo lipo kwenye orodha"
Nakushangaa unapouliza swali eti mumeo na sinza vinaendanaje!!!
We taja Tu orodha ya majina Acha kuogopa ogopa unaogopa nini sasa?!
kama mume yupo ndio nafurahi zaidi, maana hajawahi kuniangusha kwenye mechi kitandani💃💃
 
Back
Top Bottom