Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #81
SauwaEeeh buza
SauwaEeeh buza
Jamaan, embu tupia kapicha hapa tuone Huyo jiniWanafuga sana majini
Unaweza kufikiri umepata mwenza, kumbe mbwa jike
Asante🚶🚶🚶Ndio, karibu ndg
Sasa wanawake hao wakakae wapi kama sinza Kodi inalipika?!🚶🚶🚶Kwa akili zangu za haraka nikisikisia story za mapenzi kuhusu Sinza naona ni kama issue ya biashara tu kama biashara zingine
Hahahahaahahha,Subiri mbunge wako atakueleza vzr wakati wa Kampeni....
Kwanini?! NI chuki binafsi au wanazidiana uwezo?!Wanawake na wanaume waishio maeneo haya
Sinza
Temeke Sudan(yote mbagala na buza)
Mwananyamala
Kinondoni
Tandale
Tabata
Watu hawa hawajawahi kupeana credit ingawa ndio hao hao yaani wanazungukana tu.
Bora hata wanaume hujisifu kama wanaishi buza ila si wanawake
Ndoroooboe 🚶🚶🚶🚶Mademu wa sinza ni shida sana ngoja nipambane na wa mbagala huku kwetu uswailini
🙄🙄🙄Samahani mkuu, hata huyo unae muita MB wangu sijawahi kumfahamu pia. Na bahati mbaya sana sijawahi hata kutamani kutamani kupiga kura na kipigia kura sina hata
Angalia kwa makini usipofuke machoJamaan, embu tupia kapicha hapa tuone Huyo jini
Yaani ukipata mwanamke maeneo ya sinza,mwananyamala akiwa mstaarabu sana basi ni mdangajiMambo gan?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mashoga wanahofiwa sana kuwa ni makuwadi wazuri Wa Mademu za watu.. Na siku bahati mbaya akidindisha si anamla Shogaye ambaye ni Demu ako?
Kokote kule lakini si Sinza. Juzi mkurugenzi mmoja wa idara ya serikali na dereva wake walikuwa na kiu, wake zao wamewaacha Dodoma. Wakasema twende Sinza mara wakarudi na vimada.Sasa wanawake hao wakakae wapi kama sinza Kodi inalipika?!🚶🚶🚶
HaswaaaaaaahSinza oyee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini kwani shoga nae sio MTU jamani??
Unajua mashoga WA kiume MARAFIKI zao weeengi NI wanawake, kweli angalia kwenye Jamii utaona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahWe NI profesa WA mashoga au mtafiti?![emoji23][emoji23]
Mume wangu na sinza vinaendaje sasa?!
Huna prove bwana wapishe wenye prove zao
Nini hiki?!Angalia kwa makini usipofuke macho
View attachment 1501702